Mikopo ya wafanyakazi crbd imekuwa na ukiritimba sana nmb wako fasta

kitimtim

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
1,600
1,921
Yaani utajaza mifomu utaanza zungushwaaa utafikiri unapewa bure, Mara kuna waraka Wa mkurugenzi Wa huduma unaelekeza ivi Mara ivi , wakati Wa chaz ilikuwa fasta
 
Yaani utajaza mifomu utaanza zungushwaaa utafikiri unapewa bure, Mara kuna waraka Wa mkurugenzi Wa huduma unaelekeza ivi Mara ivi , wakati Wa chaz ilikuwa fasta
Katika mambo ambayo nipo mbioni kuachana nayo ni kukopa kwenye taasisi za fedha.
Yaani zile riba sio zinakusaidia bali zinakudidimiza. Unakopa10mil unalipa hadi 15mil halafu unaambiwa ribs ni 18%.
Mi napambana na vikoba tu riba 5% hadi 10% na mwisho katika riba hiyo hiyo na wewe unapata gawio mwisho wa mwaka kwenye kuvunja kibubu.
Yaani hapana taasisi zetu za fedha hapana aiseh
 
Sio kweli...! Fomu za CRDB zipo simplified sana. Jambo naloweza support ni kuwa kikokotoo vya mikopo vya mabenki mengi mwisho wa siku vinafanana.
 
mkurugenz mpya toka ameingia anaongeza charges ndogo ndogo..

naona anataka apige faida kubwa kwa vi charge charge tu vidogo vidogo
Hana ubunifu amekomaa kwenye charges badala ya ku come up na potential products mpya ambazo zitafanya benki kuwa stable kwa kuwa na products nyingi!!
 
Sio kweli...! Fomu za CRDB zipo simplified sana. Jambo naloweza support ni kuwa kikokotoo vya mikopo vya mabenki mengi mwisho wa siku vinafanana.
Vipeperushi vyao wameandika siku 7 unapata sasa jaza form upate habari yake
 
Niliomba tangu mwezi wa kwanza nimepata mwezi wa nne, crdb sina hamu nao, zilivyoingia nikazivuta kabisa
 
Niliomba tangu mwezi wa kwanza nimepata mwezi wa nne, crdb sina hamu nao, zilivyoingia nikazivuta kabisa
Huu ni uongo wa wazi wazi kabsa naona unataka kuupotosha umma. Crdb bank ina huduma nzuri sana sasa kama hukukidhi vigezo vya kupata mkopo ulitegemea wakupe mkopo? Unahisi kupata mkopo ni sawa na kununua karanga sokoni?
 
Mabank yanadidimiza sana uchumi wa walimu. Unakopa 14,000,000/= million unalipa 22,000,000/= Kwa miaka 6. Mkopo wenyewe siyo wa biashara umekopa kujenga nyumba na ujenzi huwezi kumaliza Kwa pesa hiyo. Chezeni michezo maofisini kwenu.
 
Back
Top Bottom