Habari ya asubuhi wakuu,
Ni hivi, hakuna mtu anaweza kufanya kazi bila ya kupatiwa motisha itakayoamsha Ari au Morali itakayoongeza kujituma na kuleta matokeo chanya katika Eneo lake La Kazi...
Kwa ambao tumewahi au tunafanya kazi hii, kwakweli ni kazi yenye changamoto sana hasa kwenye taasisi hizi ndogo ndogo (Microfinance). Mara nyingi wateja wetu huwa ni wasumbufu na wakati mwingine...
Watu wengi hudhani Kujali mteja ni kumuhudumia anachohitaji na kuzungumza nae kwa staha peke yake.
Kwa hizi biashara za kutoa huduma na uuzaji bidhaa kama biashara ya Bar, migahawa n.k unaweza...
Swalaaamaa!!
Nataka kuanza kuwa mjasiriamali wa kutengeneza keki kuziremba na kuziuza
Sasa naomha mnifahamishe wapi naweza pata Yale mapambo ya kupambia keki kwa hapa Mwanza??
Niliangalia...
Wanafamilia habari zenu. Matumaini yangu ni wazima wa afya na mnaendelea na shughuli zenu za kila siku.
Nikiwa nakaribia kwenda shambani kwani kuvuna cashewnuts nikaona sio dhambi kujaribu ku...
Heshima kwenu wadau wa JF, naomba mwenyewe connection ya kuni viwandani maana nimepata mahali pa kupata mzigo kutoka Sengerema ila sina pa kuziuza. Pia Nina uwezo wa kupata mabanzi na mbao reject...
Habari za SAA hizi wanajamii forum ....nmekuja na hii mada lengo n ushaur coz nmekodi fremu kwa bei kidogo lengo n kufungua huduma y pesa kam airtelmoney, tigopesa, m pesa......msaad je niongezee...
Hivi unadhani ni biashara gani ambayo baada ya miaka 5 au 10, ambayo ukiwekeza kwa wakati huu inaweza kuleta faida kubwa
Maoni yako yanaomba yawe chanya kuhusiana na hili swala
Wadau wana JF
naomba kujua watu wa kupima maeneo walipima maeneo ya watu kwa ajili ya kuwamilikisha kwa hati. ila sasa kuna Mtu anauza bado lizi hazijaja
lakini tayari ameumuuzia Mtu.
swali...
Alianza kama utani baada ya kurudi likizo ya semister ya mwisho huyu mshikaji wangu wa chuo sijui alikutana na nani huko kwao akamshauri kuhusu mambo ya forex,
Alivyorudi akanisimulia kuhusu hiyo...
Nimefungua kamgahawa katikati ya mji. lengo langu ni kufanya free delivery ya chakula kwa watu wenye maduka na wakazi waliopo karibu na mji. Ni mbinu gani naweza kutumia kukuza soko?
Habari zenu wanajamvi;
Tafadhari kwa yeyote anayefahamu ni wapi/mkoa/wilaya gani hapa Tanzania ambapo kwa sasa ndio wanafanya mavuno ya mahindi yaani kunapatikana mahindi mapya ndani ya muda huu...
Habari wakuu,
Nina project yangu ambayo naamini itaweza kuweza kuleta matokeo chanya kwa mwekezaji atakaye iona kama ni fursa.
Naamini hii itakuja kuwa ni moja ya project kubwa kama ikipata mdau...
Education ndio nimesomea, nikiwa mwaka wa mwisho nimekisoma kitabu cha rich dad poor dad nikaja mbio mtaani Toka mwaka Jana Kuja kufanya biashara lakini inaonekana mfumo wa Sasa kujiajiri Labda...
Nakaribia kumaliza chuo Nina mtaji wa laki 8 sijui nikaziweke wapi hizi pesa kibiashara! Lengo La kwanza ni kwenda kuuza bidhaa ndogondogo za urembo..
Option ya pili nikainunue salon ya kiume...
Nimeanza kufanya uchunguzi wa kuwekeza kwenye Kilimo Tanzania kwa kusaidiana na wawekezaji wa US Kwenye Kilimo. US ina tengeneza 40% ya chakula chote duniani wakati wana 10% tu wa eneo. Tatizo...
Hakika tukuyu imebarikiwa ardhi hii ya kijani
Unakutana na ndizi imenona hiyo,
miwa mitamu hiyo daa,hivi watu wa huku hawataumwa figo aise
mahindi matamu hayo siyo ya DSM yaliyovunda kule...