Habari zenu wakuu, mambo vp? Mishe zinasonga? I know entrepreneurs are always busy people naamini harakati znaendelea za kulisongesha gurudumu la maendeleo binafsi na maendeleo binafsi yalete...
Baada ya kuwasikiliza wafanyabiashara na matokeo hata ya kubadilishwa kwa Mkuu wa TRA naona nami nitoe yangu machache ambayo yanaweza kuangaliwa kwenye bajeti ya mwaka huu au hata ya miaka ijayo...
Wakuu mwenye uelewa na hiyo kitu hapo juu anifafanulie kuna rafiki kanidokeza kwamba inalipa unaweka pesa inageuzwa kuwa dola halafu wewe unalipwa kila siku kutokana na kiasi ulichoweka ukiweka...
Wakuu nimetoka kumaliza chuo mwaka Jana! Miaka mitatu yote sijawahi Pata hata supplementary (namaanisha Nina degree honorable). huku mtaani mambo yapo tofauti kidogo.
Kuna kiwango flani cha pesa...
Kabla sijaendelea maana ya familia hapa ni baba, mama na watoto. Ndugu ili awe katika hii biashara inabidi mumfikirie sana yupo nanyi kwa shida na raha
Kwa hapa bongo tunaonaga kwa macho yetu...
naombeni majibu ya maswali yafuatayo jaman;
i) kuku wakienyeji anaweza taga bila jogoo?
ii) pia kuku wa kienyeji akipandwa na jogoo watano tofauti kuna uwezekano kila jogoo akawa na kifaranga...
Wana jamii fr mlio nauzoefu ktk hii naomba msada nahitaji kuagiza hili gari kutoka injee kama unavyoona ktk picha bei hadi kufika hapa tanzania imeandikwa hapo sasa naomba kujua itatumika gharama...
Habari wadau,
Baada ya kujadiliana na wadau mbalimbali tukiwa kama watu 10, tumepata wazo la kuanzisha Firm ya Consultation.
Nimekuja kwenu kuomba ushauri katika uanzishwaji wa kitu kama hiki...
Habari za leo wanajamvi
Nimehitimu mafunzo ya kutengeneza samani (furniture) kwa kutumia vinyweleo asilia (rattan,fiber,cane)
Niliunda kikundi ambacho tulienda kupata mafunzo, baada ya mafunzo...
KKumekuwa na maneno mengi mitandaoni tangu miaka ya 2009 kuwa ITV huwacheleweshea mishahara wafanyakazi wake, mengi kwenye kitabu chake cha I can alisema biashara ya media ina faida ndogo sana...
Kwa wale wajasiriamali wadogo na wakati wanaotumia mitandao ya kijamii kwenye biashara, naomba ushirikiano wenu kwenye kujaza dodoso langu hapa chini. Litachukua dakika 3 tu.
Natanguliza shukrani...
Habar Wana JF,
Mimi ni IT expert, Nimetengeneza Program inaitwa MKOPO APP maalum Kwa wajasiliamali wenye taaisis za kukopesha
Mkopo App hii ni Program ambayo inarahisisha kaz mbalimbali...
Daaah! Hivi ushawahi fika mahali ukawa na huzuni na masononeko muda wote kwa ajili ya ugumu wa maisha...
Mimi hii kitu inanikuta yaani ile hali ambayo maisha unayoishi unajua kabisa ni mabovu na...
1.Mfumo mzima wa GPS wa baadhi ya maeneo hasa ya ndani ndani hayaoneshi kwenye ramani ya kawaida amabayo inatumika kwa dereva sana hutumia sehemu maarufu na barabara kuu...HUU NI UZEMBE kwan ni...
Kama wewe mwana jamii ni mjanja basi nitakusifu sana ila sidhani kama huwa kuna mjanja hapa kwetu tanzania jibu maswali yote haya kujua kama wewe ni mjanja.
1. Je umewahi kuuziwa bidhaa ngapi...
Poleni na majukumu wana JF wenzangu,
Nina kijana mchapakazi na ninayemfahamu vizuri na kumuheshimu, Nina wazo la kufungua kijiwe cha chipsi niweke kila kitu cha kisasa kama vile jiko la umeme na...