Mr.genius
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 1,369
- 1,169
Habari zenu wakuu, mambo vp? Mishe zinasonga? I know entrepreneurs are always busy people naamini harakati znaendelea za kulisongesha gurudumu la maendeleo binafsi na maendeleo binafsi yalete matokeo chanya kwenye nchi yetu, sasa nina mada kidogo hapa juu ya aina za biashara tunazo concetrate nazo kipindi hiki, kwa kuangalia discussion kubwa za jukwaa letu pendwa la ma business na ma biashara unaweza kuelewa tu watanzania tunawaza nini na tunafanya nini katika sekta ya biashara na ujasiriamali. Kuptia jukwaa letu pendwa nmegundua watanzania bado tuko slow sana kwenye biashara za teknolojia, biashara zenye base ya mambo ya technology nasema hivi sababu hakuna asiejua sasa hivi tunaishi katika ulimwengu wa kidijitali, wengine wanaita forth industrial revolution ambapo technology sector ndo ina run dunia. Pamoja na hayo nikiangaliaga conversation zetu humu ndani sioni business content discussion katika kiwango unaweza sema angalau hata.
Katika karne hii ya kidijitali bado tunang'ang'ana na hizi mi naziita traditional business, mada zetu utaskia "nataka kufungua genge msaada wapi pa kuanzia" nataka kulima matikiti, nataka kufungua duka la vitu vya nyumbani, nataka kuchukua mzigo kariakoo katika karne hii kweli?? It's ok, unaweza sema atleast nasisi tunaonekana tumo tunajishugulisha lakini swali kujishughulisha huku kunaleta tija kwa mazingira na mahitaji ya ulimwengu wa sasa?
Dunia imekua kijiji sikuizi, hivi tunaona wenzetu wanachofanya huko "duniani" lakini? Tunataka ukiingia jukwaa la biashara ukutane na conversation za biashara ya kileo, biashara za kisasa, digital base enterprises mana wakati wake ndio huu. Conversation like, nataka kufungua ecommerce site wapi napata Web developer mzuri? Nataka kufungua kampuni ya delivery services kwa kutumia drones natafuta partner, me and my team tutazindua product yetu ya robort wa kwanza kuhudumia mgahawa as the waiter wadau karibuni muone and many many other technology base firms!.
Kama tutakua slow namna hii to take advantage of the situation, wenzetu watafanya and guess what? soon or later tutakua slaves (customers) of other products and services from other countries. And Economically hii inamaanisha tunatoa pesa ndani ya nchi yetu na kuwapelekea wenzetu huko nje!