Msaada kwenye Tuta.. NATAKA KUFUNGUA SALOON YA KINA DADA... WADADA NITAJIENI HUDUMA NZURI

Mwl Mkwaya

Member
May 20, 2011
68
7
Nimepata frame Zanzibar hii, nataka kufungua salun ya kike ! Naomba msaada kujua huduma gani na gani nikiziweka nitakuwa nimefikia malengo na mdada akija atafurahia huduma.
 
Back
Top Bottom