Habar wadau.
Naomba kuuliza kwa mwenye uzoefu wa kuagiza vitu kwenye mitandao hasa ebay,namna gani wanafanya hadi kufanikiwa kuupata mzigo,njia ya kulipia,pa kwenda kuchukulia na kodi zake.
Maana...
Habari ya majukumu ndugu zangu, Mimi nahitaji kufungua kampuni ya mikopo ambayo mwanzo niliwaza kufanya mwenyewe (Sole proprietorship) ila katika process nikashauriwa nifanye hii kitu katika...
Habarini wadau,
Katika taasisi mbovu hii imepindukia kiasi cha kuhatarisha maisha ya wananchi.
Wamefuta baadhi ya makundi yaliyokuwa wanachama wao pasipokutoa taarifa yoyote kitu ambacho ni...
Nipo viwanja vya wakala wa minada ya mahakama Yono Auction Mart, muda huu, makubaliano ni mnada uanze SAA 4 kamili.
Sasa kutokana na hali ya watu walivyo wengi na kiingilio cha elfu 30 wameamua...
Hivi wakuu, kwenye suala la mikopo hakuna sheria ya nchi kupitia BOT inayoongoza hizi riba?
Kwanini riba ya NMB, CRDB, TPB BANK n.k zinatofautiana? Riba constant ya nchi ni ipi kisheria kwa kila...
Habari za muda huu wana familia ya jamii forums. Mm ni mwanachama humu kwa muda kiasi sasa. Pia mm ni mjasiriamali, na nilipenda ujasiriamali kupitia mawazo mbalimbali yaliyotokana na familia hii...
Tunasambaza bidhaa mbalimabli kutoka Zanzibar kwenye masupermaket na maduka. Bidhaa izo ni kama zifuatazo
1. Maziwa ya unga ya Almudhish size zote 155000/= gram 400 kwa 210000/=
2. Maziwa ya unga...
Ninataka kufanya biashara ya asali, nipo Kilimanjaro. Nahitaji kujua asali (nyuki wakubwa na wadogo) inapovunwa, misimu yake na bei yake kwa kipmo husika.......... Naomba kujua kwa mwenye kufaham plz
Habarini za asubuhi wanajamvi . mimi ni kijana mwenye miaka 26 nimepata kazi ya uwalimu katika shule moja hapo mjini Dodoma ila msharaha wangu ni mduchu sana. Sasa nilikua nataka kujiongeza...
Mimi ni mjasilia Mali Nina kiduka changu mitaa Fulani hivi Hapa bongo kinauza jumla na lejaleja miaka yote nimefanya sijawahi kukutana na kimbembe nilichokutana nacho
Hivi kalibuni eti afisa...
Do you want to start any of the following 65 businesses ?
Tyres Retail - New
Real Estate Agency - 42 pages
Executive Barber Shop - 42pgs
Petrol Station (Independent) - 47pgs
Motorcycle Spare...
Kwa mahitaji ya kuchimbiwa kisima kwa bei nafuu tuone sisi thanzania drilling company tupo morogoro bei yetu ninafuu sana inaanzia 65000 tu kwa mita karibu mdau
Wakuu habari zenu.Nimekuwa nikijiuliza na kupiga mahesabu ya kubana matumizi hususan katika suala la chakula kutokana na hali ya uchumi ya sasa ilivyo.Ningependa kufahamu kutoka kwa wale wenzangu...
Naitwa mohamed juma ni mfanya kaz wa Halotel Niko APA kutambulisha huduma ya royal bundle hii lain inakupatia mb bila kikomo mwez mzika na dakika 120 all network na dakika 300 Halotel kwa Halotel...
Habari wakuu!
Natafuta gari ndogo iwe corolla, starlet, duet au gari ya aina yoyote kwa atakaekua tayari aniuzie nimlipe kidogo kidogo isiwe ya bei kubwa ata ikiwa imechoka lakini inaweza kupiga...