Yassin Khalid
Member
- Jul 8, 2016
- 42
- 9
Habari ya majukumu ndugu zangu, Mimi nahitaji kufungua kampuni ya mikopo ambayo mwanzo niliwaza kufanya mwenyewe (Sole proprietorship) ila katika process nikashauriwa nifanye hii kitu katika mtindo wa share na mtu. Nimepokea mawazo ya aliyenishauri ila nahitaji kujua zaidi faida na hasara za kufanya hii kitu mwenyewe na pia faida na hasara za kufanya hii kitu kwa mtindo wa patnership, kwa kuendana na hali halisi ya nchi
Tafadhali naomba mnijuze
Tafadhali naomba mnijuze