Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Kwa habari ya bei ya mahindi kupanda nami nitoe maoni; Kwanza mkulima wa Tanzania ameshateseka sana, wakati wewe na mimi tukiwa mjini tunakula ugali na kusaza. Tunapiga kelele bei ya mahindi...
0 Reactions
2 Replies
793 Views
*NAMNA SAHIHI ZA KUPUNGUZA GHARAMA ZA UJENZI* Na Mtaalam wetu, *Habari Nduguzanguni* *Karibu Sana Tuelimishane Namna Sahihi Zaidi ya Kukusaidia Kupunguza Gharama Za Ujenzi kwenye Mradi Wako*...
2 Reactions
5 Replies
4K Views
Katika maisha kila mtu anapenda afanikiwe na kuweza kukidhi mahitaji yetu ya kila siku. Leo naongea na wewe ambae unawaza siwezi kufanya biashara sababu sina mtaji kwa kutoa uzoefu wangu mdogo...
5 Reactions
7 Replies
4K Views
Wadau mimi ni mfanya biashara, nina duka la jumla la mahitaji ya nyumbani lakini kwa kuwa nimefanya mda mrefu nimechoka. Kwa kuwa nashinda dukani mwenyewe natamani nifunge hili duka halafu ninunue...
2 Reactions
66 Replies
12K Views
habari? Kama kuna mtu ana ufahamu mzuri wa biashara tajwa hapo juu, nahitaji mchango wake , naipenda sana hii biashara tatizo siijui undani wake.
2 Reactions
17 Replies
8K Views
Habari za majukum wakuu? Naomba kufahamishwa ni taasisi zipi au Bank zipi zinatoa mikopo, hadi milioni mia moja, Karibuni kwa michango yenu.
0 Reactions
139 Replies
18K Views
Niliomba kufahamu Gharama za kuanzisha Kiwanda kusaga nafaka,Yaani Mashine ya kukoboa mahindi complete,mashine ya kusaga mahindi complete na Mashine ya kukoboa Mpunga.Naomba kujuia gharama na pia...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Yamepatikana uko maeneo ya Songea Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Mheshima Rais wa Tanzania amesema jambo jema kuwa hataingilia bei ya mazao ya wakulima wanyonge na kuwachombeza kuwa sasa ndio wakati wa kuwalangua wale wasiolima. Hofu yangu ni kuwa waliona...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa wale mliowahi kulima mahindi mnalijua hili utapata faida nzuri,pale tu ambapo wewe umepata wenzio hawajapata. Kwa lugha rahisi kabisa, mahindi hupanda bei kukiwa na uhaba na kwa muktadha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
No matter the size of the business there is always a room for improvement. Business restructuring is the process of addressing efficiencies; cost-wise and operational wise with objective of...
0 Reactions
0 Replies
753 Views
KENYA AIRWAYS UJENZI WA SOKO LA AFRICA NA KIMATAIFA
2 Reactions
33 Replies
6K Views
Tanzania has announced that financial deals for the construction of the second phase of the standard gauge railway (SGR) are close to be finalised. The Minister for Finance and Planning, Dr...
4 Reactions
46 Replies
6K Views
Nimekuwa nikijaribu kupitia pitia mitandaoni nikitaka kujua ukweli juu ya biashara hii ya tax kwa njia ya mtandao kwasababu nafikiria kuingia huko. Nimekuwa pia nikitafuta madereva wa kazi hizo...
0 Reactions
0 Replies
602 Views
Vodacom wamenitumia email ya proposal ya vifurushi vyao kama vinavyoonekana katika attachment hii. Naomba tuvijadili kama ni nafuu au la.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habarini wanajf, mimi nimjasiriamali ninabiashara ambayo ninaifanya yaani nimejiajiri. Biashara ninaifanya kwenye kibanda chachuma ambacho nilikichongesha Niende kwenye dhumuni lahuu uzi, Leo...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Mambo 13 kuhusu pesa ambayo unapaswa kuzingatia 1. Usikope pesa ya riba ili uanzishe biashara. Usitegemee pesa ya mkopo kuianzishia biashara, upate faida kisha uirudishe pesa ya mkopo na riba...
10 Reactions
15 Replies
3K Views
Blessed Saturday everybody! Leo kama kawaida nipo hapa kukupatia darasa litakalokusaidia kuongeza maarifa ili upate pesa ukifanya kazi kama Online freelancer. Hapo nimetumia neno maarifa...
6 Reactions
44 Replies
9K Views
Mo anatoa ushauri wa kufanikiwa kwa watu, watu wanamwambia yeye pesa kazikuta bana asilete ushauri wake hizo njia zisingefanya chochote angezaliwa kwa kina sisi. Hawa matajiri kama MO hivi...
9 Reactions
91 Replies
10K Views
Benki ya Maendeleo ya Afrika – AfDB imeridhishwa na kasi ya maendeleo ya mradi wa Kituo cha kupoza umeme cha Zuzu kinachofadhiliwa na Benki hiyo kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo la...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…