Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Naomba wazo la biashara la mtaji 10m kwa hapa mkoa wa dar es salaam. Nicheki 0756704145 kunisaidia wazo la biashara.... naomba mwenye connection nq mtu anayeendagq China na dar kwa ajili ya biashara
7 Reactions
17 Replies
389 Views
Tunauza Gold Detectors za aina zote zipo za Garrett Goldmaster 24k,Gold Monster1000,Garrett Axion nk Wasiliana nasi +255692139906
0 Reactions
0 Replies
51 Views
Bei 300,000 Fujistu i5, RAM 8GB, HDD 500GB,ina windows 11 os, ina keyboard na mouse original ,chaji saa 1 nipo mkoa wa dar es salaam, mbezi..nicheki 0756704145 sms,call,whatsappfujistu
2 Reactions
4 Replies
200 Views
Wadau kwema? Naomba msaada kwa mwenye kufahamu biashara ya kuuza gesi za kupikia. Je, mtaji wake nikiweka kama 500,000/= Tsh unatosha? Je, vibali vya kufanyia hiyo bishara vimekaaje? Naomba...
8 Reactions
101 Replies
44K Views
Habari wana JF! Kwa wale wafanyabiashara humu ndani, ningependa kujua: Kwa sasa mnatumia mbinu gani kusimamia bidhaa zenu (Inventory), kuanzia bidhaa zinapoingia hadi zinapouzwa? Ni changamoto...
0 Reactions
0 Replies
37 Views
Kero yangu ni ifutayo: Kuna wafanyabiashara tunatumia lipa namba za Airtel zinazotumia mfumo wa application ya Airtel merchant app. Sasa ni wiki ya tatu app haifunguki na wafanyabiashara...
1 Reactions
0 Replies
88 Views
Wanajukwaa! Habarini za muda huu. Mwanzoni mwa mwaka huu 2026, nilijiwekea lengo la kukusanya Sh milioni 5 kama mtaji wa kuanzisha biashara katika msimu wa sikukuu za mwisho wa mwaka. Sasa msimu...
5 Reactions
4 Replies
193 Views
Tumeshusha bei piga 0755799106 Africab 1.5mm single Tsh 70,000, Africab 2.5mm single core Tsh 120000 Africab 1.5mm twin Tsh 20,0000 Africab 2.5 Twin Ts300,000
1 Reactions
5 Replies
340 Views
BEI MPYA ZA MBAO AINA YA PINES MKOA WA NJOMBE 2*4: 4,500/= 2*6: 6,000/= 2*2: 1,500/= 1*4: 1,500/= 2*3: 3,000/= 1*6: 3,000/= 1*8: 5,000/= 1*10: 10,000/= MAWASILIANO...
2 Reactions
12 Replies
322 Views
Wakuu, salamu! Afrika ilipata uhuru wa kisiasa karne iliyopita, lakini hadi leo bado tumefungwa kwenye minyororo ya utegemezi wa kiuchumi—tunasafirisha malighafi kwa bei chee na kuagiza bidhaa...
0 Reactions
1 Replies
77 Views
Brand: MacBook. Model: MacBook pro 2019. CPU: Intel core i9 -9th generation. Memory: RAM 16GB. Storage: 1T SSD. VGA: 4GB GPU AMD 5500M. Screen: 16 inch 4K retina display Kwa Tsh...
2 Reactions
11 Replies
262 Views
Kule mchele kama dhahabu, Na ukifanikiwa kuingia Uganda huko soko ndio lipo juu sana kilo moja ni kama elfu 7 ya kibongo Nasema haya kwasababu napita hizo njia kila mwezi
4 Reactions
14 Replies
410 Views
Wana jamii mimi ni me 25 nakaa kwa wazazi nasimamia duka la jumla toka nimeanza kusimamia ni miaka 4 kwenda 5, Sasa baba anataka kunifungulia duka la hardware hapa mjini ila nikiangalia maduka ya...
9 Reactions
31 Replies
1K Views
Katika miaka ya hivi karibuni, majukwaa ya kidijitali kama Instagram, WhatsApp, Facebook na TikTok yamefungua fursa kwa Watanzania wengi kuanzisha na kuendesha biashara bila kuwa na maduka ya...
0 Reactions
0 Replies
87 Views
J Kila siku, nyumba, ofisi, maduka, hoteli, shule na majengo mbalimbali yanahitaji kusafishwa. Baadhi ya wamiliki wanafanya usafi wenyewe, lakini wengine wanahitaji watu au kampuni zinazoweza...
0 Reactions
0 Replies
99 Views
Wakuu kwema, kwa mwenye kampuni ya online betting au casino na anafikiria kuiuza tafadhali awasiliane na mimi, kuna serious buyer anahitaji. Kampuni iwe na vibali vyote vya kisheria (compliance)...
1 Reactions
2 Replies
124 Views
It does not drain your phone battery because mining happens on their servers You can switch your balance between BTC, DOGE, SOL, TON and others You can withdraw with no fee, and you can start with...
0 Reactions
0 Replies
63 Views
Habari wana JF. Mtanisamehe kama nitaandika bila mpangilio, wengine hatuna utaalamu sana wa Lugha. Wale watu wa dhihaka na kuona mtu akileta mada humu mnaona anajisifia plz, naomba mkae pembeni...
35 Reactions
188 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…