Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habr, Waungwana naomba msaada juu ya hatima za mabank zilizo fungiwa kwa sababu ya kuwa chin ya kiwango.
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Nimepata tenda ya kupeleka chakula shuleni. Nimeenda Shamba kununua nafaka nikalipa kodi. Nilipopeleka nafaka hiyo shuleni wakanipa pesa ambapo waliniomba risiti ya efd nikatoa na kukatwa kodi...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari zenu Makala hii naileta ikiwa katika muundo wa swali ambalo kama jamii na wenye mamlaka pia wanapaswa kujiuliza na hatimaye kutafuta njia sahihi za kuifanya jamii ione na iamini ya kuwa...
5 Reactions
19 Replies
3K Views
Watu wengi walipokuwa wanakutana na Albert Einstein jambo la kwanza walikuwa wanamuambia... “Einstein, Mungu amekujalia akili nyingi sana, wewe ni Genius”. Siku moja alipoambiwa hivyo akasema...
4 Reactions
3 Replies
795 Views
Watu wengi wakisikia neno Almasi, wanawaza pesa, madini yale ya thamani magumu kabisa. Na watu wengi hawajui kwamba nyundo inaweza kupasuapasua vipande vipande almasi. Diamond is the hardess...
4 Reactions
4 Replies
4K Views
50/30/20 Hii Ndio Njia Rahisi Zaidi ya Kupanga Bajeti Yako. Njia hii ilianzishwa na Seneta mmoja Marekani jina lake anaitwa Elizabeth Warren. Elizabeth Warren alisema kwamba unapopanga Bajeti...
6 Reactions
10 Replies
4K Views
Habari wakuu, Mimi nilikuwa na TIN toka mwaka 2011 na biashara ile sikudumu nayo hata mwaka kwa hiyo leseni ya biashara na tin yake vikawa vimeishia hapo, kipindi kile nafungua biashara makadilio...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Ndugu zangu naombeni muongozo wa online shopping nzuri from Dubai kwa ajili ya vitu vya jumla. Maana naona kuna wadau wengne wapo humu ni kama vile wajanja wajanja hivi.
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwa wale mlionibeza baada ya kushusha uzi wa Q NET hapa nafikiri mmeona mambo yaliyotokea. Hizi Ponzi Scheme zinakuja na ahadi nono za kitajiri na watoa masomo walishajua watanzania tukoje. Sasa...
4 Reactions
38 Replies
9K Views
Wadau naombeni ushauri Nimepata wazo la kumfungulia duka la urembo mke wangu ila nataka akajifunze kufanya makeup na kusuka location ya kujifunza = Kariakoo (kama nitaambiwa location nzuri zaid...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Habari za jioni wana JF Kwa heshima na taadhima nimeamua kuwa Mjasiliamali. Ni kwa kipindi cha miaka 4 sasa nikiwa kwenye ajira ya makampuni,nimekuwa mtumishi mwema kwa kipindi changu chote na...
0 Reactions
8 Replies
19K Views
LEO TUANGALIE MCHANGANUO WA TSHS 300,000/= (LAKI TATU) KWA KUANZISHA MRADI WA UFUGAJI KUKU WA KIENYEJI. Hapa tuta hitaji kuku 11 tu wakubwa wanaotaga yani majike 10 na Jogoo 1 tu. Kwa kutumia...
22 Reactions
63 Replies
15K Views
Wakuu habari za wakati huu, i hope mko wazima wa afya na mlio dhaifu basi Mungu awatie nguvu. Niende direct kwenye hoja yangu. Nimekua very broke kwa kipindi cha miezi michache tangu kibarua...
9 Reactions
54 Replies
19K Views
Jamani mwenye elimu ya kutosha juu ya uanzishwaji wa biashara ya ukandarasi anifahamishe nataka kuanzisha biashara hiyo nina kama TZS. 12m, mchakato unakuwaje? Thanks in advance.
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Mimi kijana wa Kitanzania mwenye umri kamili wa miaka 26, mwenye Degree moja ya Procurement, ni mjasiriamali wa biashara ya chakula, Matunda na Forex ..lakini bado naitaji kuongeza kitega uchumi...
13 Reactions
22 Replies
7K Views
Nimekuwa nikifuatilia nyuzi nyingi za watu wanaoandika ama kujinasibu wanafanya forex humu JF kwa takribani miaka 4. Nimekuwa nikigundua falacies nyingi sana (uwongo) na upotoshaji lakini ni moja...
29 Reactions
150 Replies
43K Views
Habari za jioni wakuu napenda kujua utaratibu wa kufuta leseni ya biashara nataka niifute ili nifanye biashara bila leseni kuepuka gharama za kikokotozi cha TRA , Najua tupo wengi tunaotaka...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Ninataka kuanzisha genge mtaani kwetu lakini liwe la kijitali. Liwe kwenye frame kubwa, bidhaa ziwe zimepangwa vizuri, mhudumu awe msafi kabisa. Kila kinachouzwa kiwe kimesafishwa. Bei ya bidhaa...
19 Reactions
17 Replies
7K Views
Ndugu zangu, kwa uzoefu wangu nimegundua Vietnam wana nguo nzuri sana (kike na Kiume) na bei zake pia ni nzuri. Natamani sana kufanya biashara ya kuuza nguo kutoka huko. Naomba kwa wenye uzoefu...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wana Jf, Nilikuwa nahitaji kufanya biashara ya nyanya ninunue kwa wakulima mashambani alafu nije kuuza kwenye masoko Dar. Nilikuwa naomba. 1. Ushauri au muongozo kwa mwenye uzoefu na...
1 Reactions
7 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…