Nataka kuanzisha biashara ya ukandarasi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nataka kuanzisha biashara ya ukandarasi

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Kibirizi, Apr 26, 2011.

 1. Kibirizi

  Kibirizi JF-Expert Member

  #1
  Apr 26, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 602
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Jamani mwenye elimu ya kutosha juu ya uanzishwaji wa biashara ya ukandarasi anifahamishe nataka kuanzisha biashara hiyo nina kama TZS. 12m, mchakato unakuwaje? Thanks in advance.
   
 2. L

  LAT JF-Expert Member

  #2
  Apr 26, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  anza na BRELA upate Certificate of company reg.

  apply TIN & Business License

  nenda CRB (Contractors Registration Board) ... chukua application forms ni Tsh 10,000 .... kama unataka kuregister Building and civil works lazima uchukue form mbili...utapewa kijitabu chenye matakwa yote ya kusajiliwa na board hiyo ya makandarasi

  Kikubwa... utaanza kusajili CLASS 7 ambayo ina upper limit ya kazi ...lazima uwe na ofisi, pick up, concrete mixer and small construction tools pia lazima one of the directors awe ni professional wa construction industry (architect, quantity surveyor or engineer)

  hizo ndizo basics mkuu

  i wish you all the best
   
 3. Kibirizi

  Kibirizi JF-Expert Member

  #3
  Apr 26, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 602
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Du mkuu nakushukuru kwa kunipa mwanga. Ngoja nifuatilie hizo ofc na kumtafuta proffesional mmoja.
   
 4. m

  majiyashingo Member

  #4
  Apr 26, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bwana shukrani sana LAT ila je kama mtu anataka kuanzisha kampuni ya kufua umeme wa kama MW 1 je taratibu ni zipi mkuu?
   
 5. Qs Yu

  Qs Yu Member

  #5
  Dec 2, 2014
  Joined: Dec 2, 2014
  Messages: 95
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 15
  Umefikia wapi mkuu?
   
Loading...