Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Najua watanzania wengi tunapenda kitonga(mteremko) Hivyo ikitokea bidhaa kwa bei nafuu tunakimbilia huko Naomba kuwasaidia kuwafunga macho kwa hawa matapeli wa mitandano Ndg yangu ukiona kitu...
5 Reactions
5 Replies
2K Views
Zamani tulidhani girls wakisimamia shop biashara itachanua. Leo unarudi unakuta wao ndio wamechanua kuliko biashara 😂 Mabinti wamekuwa wajanja sana siku hizi, miezi 6 ya mwanzo watapiga kazi...
17 Reactions
41 Replies
1K Views
Vp boss Boss wangu ad vibanda vya mbao tunatengeneza Kisha tunapga stika hapo maji yanateleza tu na linapendeza sanaaaaa Aya wafanya biashara nopeni kaz.. 0692477610
4 Reactions
36 Replies
2K Views
Habari za kwenu wana jamii nauliza kama kuna mtu anajua nawezaje pata vibali vya kuexport nyama nje ya Tz naomba msaada tafadhali.
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu wa jukwaa, Leo nataka niongee kitu ambacho naamini kinaweza kubadilisha namna tunavyoendesha biashara zetu za kila siku hasa sisi wafanyabiashara wadogo na wa kati. Ukweli ni huu Biashara...
3 Reactions
6 Replies
586 Views
Wandugu I am reaching out to you with a crazy idea that I'm sure will boost your business. As we all know, people love to come together, socialize and have drinks including cold beers😋🍺🍻 whoow...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Dar es Salaam. Utafiti mpya umeonya kuwa Tanzania inaweza kushindwa kunufaika kikamilifu na rasilimali zake kubwa za gesi asilia endapo utawala, uwezo wa taasisi na uhusiano wa kiuchumi...
2 Reactions
3 Replies
216 Views
Mshahara ni laki tano kwa mwezi. Goal: To cut expenses, And save more while investing for long term! Tuchambue bila hisia. Monthly Income: 500,000 TZS Kama unaishi Dar au mji wowote, kama...
42 Reactions
307 Replies
5K Views
Habari wadau, ninauza mafuta ya alizeti kutoka Singida. Kiasi Kilichopo: 5,000LTRS Package: 20Ltrs & 5Ltrs Bei: Tsh 6,000 per Ltr Napatikana: Dar Es Salaam MOQ: DUMU 50 (20LTRS) Mawasiliano...
8 Reactions
12 Replies
531 Views
Nimeamua kuja na wazo biashara kwa wale walimu wote wanaojituma kwenye kuandika makala mbali mbali hasa za kitaaluma. Fursa ipo kwenye kuandika na kutafuta walaji wa kile unacho kiandika...
1 Reactions
8 Replies
215 Views
True case study! “Nicas" (jina halisi limefichwa) alinitafuta mwezi uliopita kupitia JamiiForums baada ya kusoma baadhi ya threads zangu kuhusu personal finance na uwekezaji. Aliniambia ana...
3 Reactions
23 Replies
513 Views
  • Redirect
0 Reactions
– Replies
– Views
Benki ya Biashara Tanzania (TCB) imezindua kampeni maalum inayolenga kuwawezesha Watanzania kufikia ndoto zao kwa kuwapatia suluhisho sahihi za kifedha, hatua inayotarajiwa kuchochea ukuaji wa...
0 Reactions
0 Replies
159 Views
Habari wadau, niliwahi kuja na uzi hapa kuhusu D09 CLUB Miezi michache kabla haijapotelea kusikojulikana na nilishambuliwa sana na waliliwa pesa zao na bila kujua hatma yao wanarudishiwa vipi na...
40 Reactions
899 Replies
246K Views
Njia ambazo unaweza kupata idea ya biashara na kuweza kufanikiwa katika maisha 1.Interest, obby(kupenda) Unaweza kuanzisha biashara yako kwa kile unachokipenda , mfano unajua kupika na unapenda...
3 Reactions
3 Replies
572 Views
Leo napenda kujadili mradi mkubwa wa ufugaji wa kuku wa mayai 30,000. Kama ilivyo kwa biashara nyingi za uzalishaji uzalishaji mkubwa hupunguza gharama za uzalishaji kwa bidhaa moja ( Unit cost)...
5 Reactions
5 Replies
3K Views
Kwanini unakosea, kufanya maamuzi ya location ya biashara wakati una mtaji. 1. Hutaki Kutofanya utafiti wa soko Watu wengi wanafungua biashara mahali fulani kwa kutegemea mawazo kichwani bila...
5 Reactions
13 Replies
728 Views
Ninaandika uzi baada ya kusoma habari mitandaoni inayosema kuwa kijana Dominik mmiliki wa room of jeans kuwadanganya wateja wake kuwa watauziwa suruali Tsh 5000 ila walipofika akawapa bei tofauti...
0 Reactions
4 Replies
173 Views
Heri ya mwaka mpya wanafamilia ya jamii forum. Kwa wenye uzoefu na m-wekeza ya voda, mfano ukiwekeza let say Tsh. 10,000,000/= kwa miaka 10 kwa riba ya 13% kwa mwaka, je baada ya miaka 10 utaweza...
2 Reactions
6 Replies
740 Views
Habari zenu Wakuu, Naitwa Augustine na miaka 28 nimefanya kazi kwenye kampuni mbili tofauti ya civil engineer na Insurance broker yote hayo ndani ya miaka mitano. Hivi sasa na miaka 28 na...
3 Reactions
9 Replies
601 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…