Habari wapendwa naomba mnisaidie kama kuna mtu alishawahi kuagiza bidhaa yoyote kwa kutumia App ya Alibaba msaada pls uaminifu wake ukoje na kama mzigo unafika kwa wakati anisaidie kujua
Kuna jirani hapa nilishangaa sana alipomuachisha chuo kijana wake akiwa mwaka wa pili, Huyu kijana alikuwa anasomea degree ya procurement, mzee wake akamwachisha kinguvu.
Nikaja kujua kwamba mzee...
Habari zenu wana jukwaa, kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu naomba kufahamu abc za namna ya kuanzisha hii huduma hapa mjini.
Kwa anayefahamu gharama za ujumla na vibali husika.
Shukran.
Habari wakuu, naomba kufahamu aina ya mashine inayoweza kuprint passports size tuu,
Iwe ni portable inayotumia umeme kidogo na nzuri kwa anayefungua stationary au anayetembea na kupiga passports...
Habari wakuu.
Kuna mafunuo niliyapa na tayari nimeanza mchakato wa kukiandika kitabu. Natamani mwisho wa robo hii ya kwanza ya 2021 kitoke. Kinahusu umuhimu wa punctuality katika maisha.
Sina...
Nimebahatika kusoma ripoti ya mabenki ya CRDB na NMB kuwa mwaka huu wamepata faida ya zaidi ya 200bn/- kila mmoja.
Itakuwa ni vema sana kama sehemu ya faida hiyo ielekezwe kwenye gawio la wana...
Kama kuna makosa huwa yanafanyika ni ya kuto andaa wasimamizi wa Biashara pindi Mungu kaita.
Succession planning kwetu ni msamiati mgumu sana, ni wachache wanao weza kuandaa.
Wahindi na Waarabu...
Habari wana JF
Hivi umewahi kujiuliza swali kwamba kwa nini WAHINDI/WAARABU wanapoanzisha biashara zao hapa nchini zinafanikiwa zaidi yetu sisi watanzania na wakati nchi ni yetu na fursa ni zetu pia?
For keen observers, the Indian community is fast rising to be a business behemoth in Kenya and East Africa take out Indian families from any major town and the economy of that particular region...
Kwa mfano wahindi wanaunda baadhi ya bidhaa za umeme wanasema kwa ajili ya Afrika tu...kama unavyoona hapo pichani....ina maana kuna kipi cha tofauti?
Nani anaejua sababu wadau...nimekuwa...
Habari zenu naomba kujua nchi tatu bora ambazo unawezo kupata vitu kwa bei rahisi vitu kama nguo miwani kofia accesorise na biatu kwa bei ya jumla (za kwenda kusafiri )
Habari wana JF, naombeni alie na uzoefu huu aliekeze hapa chini ;-
1).Je CEO wa kampuni vitu gani hasa ( vya siri ) anatakiwa apambane navyo ili kulinda kampuni yake
2). Ni vigezo gani matajiri...
Nilishaagiza Toyota Noah kwa lengo la usafirishaji wa abiria,Lakini sehemu ambayo nilipanga kuitumia naona zimesitishwa, yaani mpya hazitakiwi tena,
Sasa mm Gari ipo njiani toka Japan naombeni...
Wapendwa wote,
Nafanya utafiti kuhusu microfinance ya dar es salaam na Arusha.
Je, kuna taasisi maarufu inayohusika hasa kilimo?
Nashukuru kwa msaada wenu,
Asante
National Commercial Directory
Ukihitaji namba za shirika lolote lile la kiserikali na baadhi makampuni ya binafsi na hata mashirika yote ya kimataifa utapata hapa www.ncd.co.tz
Utapata:
-Namba...
Nadhani kwa wale wenye idea na mambo ya movie making wanaelewa ila lengo la kuanzisha hii thread ni kukutanisha watu wenye mawazo tofauti ya idea moja.
Na sio mawazo tu hata nyenzo(vitendea kazi)...
Kuna hii biashara ya maziwa hasa mtindi huwa inafayika pale Ubungo kuanzia alfajiri, hitaji langu ni kutaka kujua wale wafanyabiashara mzigo wa yale maziwa mtindi wanachukua wapi na kwa gharama...
Habari za muda huu wachakalikaji?
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu, sisi kama watafutaji na wafanyabiashara wa mafuta ya kupima na kuwauzia wakaanga mihogo, samaki, chipsi na wengine...
Habarini za asubuhi wanajamvi,
Kama tunavyojua, maisha baada ya Korona imekuwa remote. Sites kama vile upwork, fiverr na PeoplePerHour zimeshika kasi katika kuajiri "digital nomads", na waajiri...