Msaada kuhusu App ya Alibaba

Msaada kuhusu App ya Alibaba

Laufelix

Member
Joined
Jan 9, 2021
Posts
25
Reaction score
23
Habari wapendwa naomba mnisaidie kama kuna mtu alishawahi kuagiza bidhaa yoyote kwa kutumia App ya Alibaba msaada pls uaminifu wake ukoje na kama mzigo unafika kwa wakati anisaidie kujua
 
Wapendwa naomba mnisaidie uelewa kidogo kuhusu kampuni hii ya online shopping kama kuna mtu yeyote aliyewahi kuagiza mzigo kupitia kampuni hii ilikuwaje? Je kuna usumbufu wowote? Na kuhusu uaminifu wakoje naomba mnisaidie pls dears[emoji120]
 
Wapo vizuri ila mizigo mingi wanauza jumla jumla na sio rejareja, lakini pia unatakiwa uwalipe Alibaba mwenyewe kwenye account yao na sio ya muuzaji watakutapeli ila ukiwa makini ni kammpuni nzuri sana mkuu na uhakika pia kupata mzigo wako ni asilimia kubwa
 
Ndio nawalipaje kwenye account yao maana natumia app yao nimeidownload na natumia mastercard kuwalipa ntajuaje nimewalipa Alibaba wenyewe au wauzaji?
 
watakuja kukuelezea wajuvi vizuri.. ila nnavofaham ni waaminifu.
 
Ndio nawalipaje kwenye account yao maana natumia app yao nimeidownload na natumia mastercard kuwalipa ntajuaje nimewalipa Alibaba wenyewe au wauzaji?
Kama bado huna elimu na hilo mkuu tulia kwanza ujifunze usije kurupuka Utalia au tafuta mtu akupe shule vizuri ndio ufanye kuagiza mkuu
 
Ndio nawalipaje kwenye account yao maana natumia app yao nimeidownload na natumia mastercard kuwalipa ntajuaje nimewalipa Alibaba wenyewe au wauzaji?
Unaponunua eBay au Amazon au AliExpress malipo yako yanashikiliwa na Hao kisha Yule seller anatakiwa delivery afanye akishathibitishwa na wewe kama umepokea mzigo wako ndio analipwa.
Kama hajadeliver mzigo unafile disputes unarejeshewa fedha yako
 
Oooh basi hao wako vizuri hivi Aliexpress na Alibaba ni kampuni ileile?
 
Yap ni ya Billionaire Jack Ma ambaye juzi tu hapa amewakiana na Serikali ya chama cha Kikomunisti ya China.Mimi nimekuwa naagiza tuvituvitu kama simu nao AliExpress na sijapata majanga yoyote na pia walioshindwa kufikisha mizigo yangu walinirudishia fedha yangu.AliBaba Naona kama ni Kwa Mizigo Mikubwa (Bulk ).
 
Naomba msaada kwenye kulipia ulitumia njia ipi kufanya Malipo maana mm natumia Master card lakini bado nambiwa payment unsuccessful na salio lipo la kutosha.
View attachment 1698485
 
Back
Top Bottom