Biashara ya maziwa ya mtindi

dicloppa

JF-Expert Member
Jan 9, 2016
278
400
Kuna hii biashara ya maziwa hasa mtindi huwa inafayika pale Ubungo kuanzia alfajiri, hitaji langu ni kutaka kujua wale wafanyabiashara mzigo wa yale maziwa mtindi wanachukua wapi na kwa gharama ipi?

Mwenye kuijua hii biashara naomba uniambie ABC za hii biashara.
 
Ndugu zangu ni kweli kwamba hamna wadau wa hii biashara humu?????
 
Muuzaji mkubwa wa maziwa huyu. Kama yuko willing atakwambia
IMG_20210205_180540.jpg
 
Wale wengi ni wafugaji wanatoka asilimia kubwa Pwani ndiyo wamefugia......ndiyo maana hata mabucha lile eneo ni mengi sana maana wanachinja wenyewe
 
  • Thanks
Reactions: _ID
Back
Top Bottom