Baada ya chuo, kama kijana naona wakati nikiendelea kutafuta kazi nifanye biashara ya Uber/ Bolt.
Sasa wenye uzoefu Naomba wanijuze nn cha kufanya ukiwa unaanza, faida na hasara na pia changamoto...
Habari Wakuu,
Samahani mwenye kujua Taratibu za kutuma mzigo nje ya nchi kama vile NEW ZEALAND sababu nimeenda posta gharama zao ziko juu kama kuna njia nyingine mnijulishe
Nimeona niongee tuu ninacho kiona mie , kama sioni vizuri niko tayari kufundishwa.
Makampuni ambayo yanafanya vizuri kweny Soko la Hisa (DSE) miaka yote ni Sigara na Beer na hii naamanisha...
Habari;
Katika mambo ambayo mwanadamu yeyote haweza kupinga ni ukweli kwamba duniani inabadilika.Ni ukweli usiopingika kwamba kasi ya mabadiliko iliyopo ni muhimu sana tukajiandaa kuwa...
With my esteem pleasure n reserved demeanor since many Kenyans have turned to be "doubting Thomases" on Tanzania's capability to undertake the project especially on whether phase I n II of 5...
Baba yangu ameuza nyumba hapa Musoma mjini kwa sh mil 80. Nyumba ilikua na hati na vizuri na amenipa jukumu la kukamilisha zoezi la uuzaji na kuhakikisha mnunuzi anamaliza process zake vizuri...
Habari ya leo wakuu,
Vijana tunapitia changamoto sana katika kupata support ya kiuchumi hasa tukiwa na wazo la kuanza biashara naamini mtaji wa kwanza ni wazo la biashara then pesa ina fuata...
Leo naleta mjadala tata.Mjadala ambao watu wengi ama watauelewa au watachanganyikiwa.Mjadala huu unahusu uwezekano(Probability) ya Mtu kuwa Bilionea.Nimeonelea niweke hili neno Probability ili...
Hello guys,
Kwa wiki 4 sasa huyu dereva hajaniletea hesabu ingawa kipindi cha mwanzo alikuwa ananileteaga, kila wiki anakuja na sababu mara kauguliwa na mtoto, Mara mvua, Mara pikipiki...
Salute wakuu
Naomba ushauri kuhusu Biashara gani ambayo naweza kufanya kwa Siku nikalaza atleast Laki 1 kama faida, regardless mtaji kiasi gani.
Natangulixa Shukurani 🙏🙏
Wakati Serikali na vyombo vya dola vikiendelea kuchunguza uhalali wa uwepo wa kampuni ya biashara za mtandao ya Q-NET inayodaiwa kuwatapeli wananchi mamilioni ya fedha,ofisi za kampuni hiyo...
Chonde chonde CRDB msitufanyie hivyo. Mnatuaibisha tulishaanza kunywa bia toka jana sasa leo kuondoa salary advance ndio nini?
Fanyeni mambo basi tunawaaminia.
Wadau habari ya majukumu nimeamua kuanza kufanya biashara ya nafaka zao la choroko, nimeingia bush huku nakusanya mzigo kwa anayejua soko la uhakika lilipo la zao hili tupeane taarifa na soko...
Nenda zako ukalime mashamba ya mpunga, uwele, mtama na mengineyo!
Lakini biashara hutufai kabisa!
Waachie shughuri hiyo wafanyabiashara wenyewe.
Ni muda mrefu nimekuwa nanunua kutoka katika duka...
Habari zenu wanajamvi.
Majuma machache yaliyopita nilipost thread nikisema nahitaji mbia atakayeweka fedha Mimi Nina mashine na customer base tufanye biashara. Kama kawaida jamiiforum haikosi...
Watu ambao wana comment negatively ni kwa sababu ya kutokua na uelewewa na concept mpya ya crowd farming.
Crowd farming ni kuanzisha kilimo aidha cha matunda au ufugaji wa kuku au ngombe nk...
Habari zenu
Naomba mwenye kujua ni utaratibu gani ninatakiwa kuufuta ninapotaka kupata kibali cha muda cha kuingiza bidhaa ya kuuza toka nchi jirani ?Tafadhari naomba kusaidiwa ili nipate...
Salaam!
Ninampango wa kuagiza gari ya kwanza kutoka nje ya nchi.
Nimfanyakazi wa serikali na ninajua kwamba kuna exemption ya kodi kwa wafanyakazi wa serikali.
Kwa anayefahamu habari ya...
Habarini wakuu,...
Nina malengo ya kuchukua pikipiki ya mkataba kwa kuwa kwa sasa sina ela cash ya kununua moja kwa moja. Hivyo naombeni ushauri kwa wale wazoefu ni aina gani ya kampuni pikipiki...