Biashara gani yenye faida kubwa ambayo nitatengeneza faida ya laki 1 kwa siku

Salumsas

Member
Jun 19, 2020
39
61
Salute wakuu

Naomba ushauri kuhusu Biashara gani ambayo naweza kufanya kwa Siku nikalaza atleast Laki 1 kama faida, regardless mtaji kiasi gani.

Natangulixa Shukurani 🙏🙏
 
Ulipoandika regardless mtaji kihasi gani ndipo ulipoharibu maana hata chizi wa mirembe anaweza kukutajia hiyo biashara na kweli ikaingiza 100,000+ kwasiku, tuanze
1)Jenga kiwanda cha maji
2)Nunua boti 10 zifanye root Zanz-Dar
3)Nunua Costa 10 zipige ruti
4)Nunua Semi 30 ukodishe
5)Fungua maduka 10 kariakoo
6)Nunua Bombardier 10
7)Nunua meli 20 zibebe mizigo
 
Salute Wakuu

Naomba ushauri kuhusu Biashara gani ambayo naweza kufanya kwa Siku nikalaza atleast Laki 1 kama faida, regardless mtaji kiasi gani.
Natangulixa Shukurani 🙏🙏
Yoyote ile ata ya pipi ambayo utapata kila pipi faida ya sh. 10 kama utauza pipi elfu 10 za sh 50 kila siku bas utalala na laki sawa mkuu
 
Salute Wakuu

Naomba ushauri kuhusu Biashara gani ambayo naweza kufanya kwa Siku nikalaza atleast Laki 1 kama faida, regardless mtaji kiasi gani.
Natangulixa Shukurani 🙏🙏
Regardless mtaji ndio nini?
Ina maana we una mtaji mkubwa Sana? Basi nunua Yutong ipige ruti ya DAR-Arusha, siti tatu tu au 4 ni laki 1 unapata. Siti zilizobaki ni kurudisha gharama na faida pia.
 
Ulipoandika regardless mtaji kihasi gani ndipo ulipoharibu maana hata chizi wa mirembe anaweza kukutajia hiyo biashara na kweli ikaingiza 100,000+ kwasiku, tuanze
1)Jenga kiwanda cha maji
2)Nunua boti 10 zifanye root Zanz-Dar
3)Nunua Costa 10 zipige ruti
4)Nunua Semi 30 ukodishe
5)Fungua maduka 10 kariakoo
6)Nunua Bombardier 10
7)Nunua meli 20 zibebe mizigo
mkuu naona umeamua kukomoa.
 
Salute Wakuu

Naomba ushauri kuhusu Biashara gani ambayo naweza kufanya kwa Siku nikalaza atleast Laki 1 kama faida, regardless mtaji kiasi gani.
Natangulixa Shukurani 🙏🙏
Anzisha mtandao wa simu.
 
MTAJI MIL 20,
Tafuta eneo lenye mzunguko mkubwa wa watu ,weka jiko la kitimoto ya kuchoma tu ila mchomaji mtoe dar ,hata laki 3 kwa siku unalaza
 
Salute Wakuu

Naomba ushauri kuhusu Biashara gani ambayo naweza kufanya kwa Siku nikalaza atleast Laki 1 kama faida, regardless mtaji kiasi gani.
Natangulixa Shukurani 🙏🙏
Utuambie kwanza una shilingi ngapi mfukoni kama mtaji? Kulaza faida ya laki 1 kwa siku usawa huu wa magu, siyo jambo jepesi kama unavyo fikiri.
 
Back
Top Bottom