Habari zenu wanajamiiforum?
Bila kupoteza muda, ni kiasi gani cha fedha unachoweza kuenda kufunga mzigo china ukapata faida nzuri baada ya kodi za tra nk..?
Hapa nazungumzia mtaji wa kuanzia M5+...
Makosa makubwa 2 ambayo huwa ni kisababishi kikubwa cha wafanyabiashara wengi wa NETWORK MARKETING kufanya vibaya biashara zao kuanzia kwenye Recruitment na kuuza bidhaa zao.
[emoji3581] Kosa...
Habari wana jamvi ni muda wa kufanya kazi ili kujipatia kipato halali na maisha yaweze kundelea.
Watanzania tuache longolongo na maneno mingi ili kukuza uchumi wetu. Pia tunafanya dua kwa...
Habari wana Jf,nlikuwa naomba ushauri katika hii sekta ya utalii wa ndani,kama nkifanikiwa kufungua kampuni ya ku organize utalii wa ndani ntapata faida?Naweza kuwa nimefikisha wazo langu...
Habari wanajamvi.
Kama kichwa cha habari kinavojieleza,
Nataka kuanzisha biashara ya gas ya kubadilisha sitaki kuuza majiko yake sasa nimejaribu kuuliza uliza kwa wadau wananiambia ni lazima...
Habari wakuu,
Mimi nataka niagize mzigo Alibaba je unaweza kufika mpaka mkoani au nafanyaj alie wahi fanya biashara na alibaba au app yoyote anipe ujuzi please
Watalaamu wa Uchumi wanasema uwezo wa mtu kumudu maisha yake kuwa maana ya kuwa na chanzo cha fedha (iwe kwa kuajiriwa au kujiajiri) humsaidia mtu kupunguza matatizo ya afya ya akili kwa maana...
Habari wapendwa,
Hivi karibuni nili place oder Alibaba
Lakini tatizo limekuja kwenye Kufanya Malipo,
Natumia DTB prepaid MasterCard
Ila kila nikifanya Malipo naambiwa payment Unsuccessful
Salio...
Habari wanajamvi,
Kichwa tajwa hapo juu. Kwa kifupi:
Niliingia ubia na jamaa
nikatoa hela zangu
akamwomba jamaa mwingine aagize mzigo
mzigo (wa nafaka) ukaja umechanganya rangi. Badala ya tani...
Mie nahusika na ujasiriamali mdogo mdogo na genge la nyama choma kila siku nimekuwa nachukua nyama jioni na kwenda nayo nyumbani na kuweka katika chombo kikubwa cha wazi nimekuwa nafanya hivi mara...
Tanzania hii unatoa agizo eti tiketi zote za mabasi ziwe kwa mtandao, kwa kigezo eti mbona tiketi za ndege zinakatwa kwa mtandao?
Ivi Latra mmekosa kazi ? Au mnatafuta kiki?
Duka la vifaa vya michezo la Just Fit imemkabidhi vifaa vya vya mazoezi kwa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima, kuunga mkono juhudi zake na Wizara...
Salaam wanajukwaa..
Leo nimeona niwajuze vijana,wajasiriamali na watu wote wanaoishi Mbeya mjini na mikoa inayofanana hali ya hewa huwenda mazingira ya biashara inafanana au ukapata wazo hapa...
Ukitembelea maduka ya simu utakuta simu fulani inauzwa kwa sh. 199999 nyingine labda 149999 au 249999.
Swali linalolitatiza mimi ni kwamba hizi hela zipo kweli au yaani ukishanunua hiyo shilingi...
Wadau ninaomba ushauri wenu sana. Nina mtaji wa shilingi milioni mbili, nahitaji kufanya biashara ya kuuza mazao.
Sasa naombeni ushauri wenu kuhusu hili swala nianzaje. Mim nipo Singida kikazi
Mimi ni mwanachuo naomba ushauri nahitaji kuanzisha biashara ndogo ya sh 150,000/=
Naomba ushauri biashara gani inafaa kwa kiasi hiki cha hela.
Pia soma: Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi...
Habari wakuu.
I trust you are good.
Nipo hapa kama kawaida ku-share maarifa yatakayokuongezea VALUE kwenye life yako.
Hasahasa namna yakuona opportunity na kuzitumia kwa faida.
Kwa kuanza...
Hivi unawezaje kulifikia na kupata soko la nje ya nchi?
Mfano nchi za Ulaya au Asia au hata ndani ya Africa.
Kwa wenye experience na international trade naomba tusaidiane somo na mawazo.
Habari ya leo wakuu,
Nna wazo moja ambalo tunaweza kushirikiana vijana 10 WAJASIRIAMALI tunaojihusisha na uzalishaji wa bidhaa mbalimbali.
Pia ni muhimu tusajili kikundi chetu ili kiweze...
Asalaama wapendwa
Mimi nafanya biashara ya nguo za kike na kiume. Niko na maduka matatu na nanunua jumla nauza rejareja. Biashara inalipa ila nina imani nikisafiri mwenyewe italipa zaidi maana...