Naomba ushauri, nina 150,000/= nifanye biashara gani?

Mimi ni mwanachuo naomba ushauri nahitaji kuanzisha biashara ndogo ya sh 150000 naomba ushauri biashara gani inafaa kwa kiasi hiki cha ela.
 
Mkuu bites, kuuza nguo za ndani kwa wadada, kutengeneza na kuuza juice, kukopesha kwa riba (kuweka dhamana) max elfu 30 anarudusha 35 au 40 (kwa wenye mikopo tu).... Kuuza na kununua viatu vya kike.... Kusambaza dagaa unakaanga unasambaza etc
 
Badala ya kusoma unataka kuhangaika na biashara, alafu ukidisco uje kulia lia humu!
That x y spendi biashara ya kuzungusha nahitaji ya kutulia.na niko mwaka wa mwisho nimeon tu niwe na kitu chochot nikimaliza ela ntapata wapi rafiki angu
 
Back
Top Bottom