Nawezaje kupata mitungi mitupu ya gas? Kuanzia kilo sita na 15?

kiri12

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
373
250
Habari wanajamvi.

Kama kichwa cha habari kinavojieleza,

Nataka kuanzisha biashara ya gas ya kubadilisha sitaki kuuza majiko yake sasa nimejaribu kuuliza uliza kwa wadau wananiambia ni lazima ninunue mtungi uliokamilika nikishauza jiko ndio nibakie na mtungi mtupu nibadilishe gas.

Kwa anayeuza mitungi hiyo naomba anisaidie aje hapa tuongee biashara.
 

Numbisa

JF-Expert Member
Dec 12, 2016
201,337
2,000
Kwanza fahamu aina ya mitungi ya gesi unayotaka kuuza. Tafuta wakala wa jumla ongea nae au kabla ya kwenda kwa wakala chunguza kwa wauza gesi eneo ulilopo utapata fununu na majibu ya maswali yako.

Maana utanunua majiko mangapi kupata hio mitungi ya gesi. Ni sawa na muuza soda anunue soda mia ili apate chupa tupu kumbe inapaswa kuongea na wakala msambazaji kuelewana kuhusu chupa na friji.
 

Mnyatiaji

JF-Expert Member
Dec 13, 2018
3,206
2,000
Kwanza fahamu aina ya mitungi ya gesi unayotaka kuuza. Tafuta wakala wa jumla ongea nae au kabla ya kwenda kwa wakala chunguza kwa wauza gesi eneo ulilopo utapata fununu na majibu ya maswali yako.

Maana utanunua majiko mangapi kupata hio mitungi ya gesi. Ni sawa na muuza soda anunue soda mia ili apate chupa tupu kumbe inapaswa kuongea na wakala msambazaji kuelewana kuhusu chupa na friji
Point imesimama
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom