Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

[emoji433]Author-Coach Lazaro Samwel Imeshawahi kukukuta hii kwenye shughuli zako? Kwenye soko lako wewe una ofisi nzuri sana,bidhaa nzuri kupita maelezo lakini kuna mwenzako ofisi ya kawaida...
1 Reactions
5 Replies
865 Views
Habarini Ndugu zangu naomba kwa anayefahamu mifuko ya nylon (picha iko chini) inauzwa maeneo yapi kwa hapa DSM kwa bei ya boksi/jumla anifamishe tafadhari. Mifuko hii hutumika kuwekea vitu...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Hello JF members nahtaj kujua kwa undani zaid wenye experience na biashara ya mapazia pamoja ushauri wenu wakuu wap naeza pata kwa bei nzur kwa bei ya jumla ili niuze bei ya rejareja na jumla pia.
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari za mchana wakuu, naomba kujua kwa wazoefu au wenye ujuzi mashamba ya nazi Tanga ni wapi na bei huwa zinachezea ngapi pia changamoto ya biashara hii ikibidi njia za kuepuka gharama zisizo za...
1 Reactions
9 Replies
6K Views
Na wewe ulishawahi kufikiria hili na ukasema “Mambo sasahivi ni mengi mitandao ya kijamii itanisaidia.” Umeshawahi kujiambia kauli hii kwa kudhani mitandao ya kijamii itakufangia kazi kwasababu...
1 Reactions
0 Replies
594 Views
Inawezekana ukawa ni mfanyabiashara ambaye unaandika matangazo kila mara na unajikuta haupati matokeo mazuri. Umelipa kwa watu mbalimbali kukuandikia matangazo lakini bado hakuna matokeo mazuri...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Nakumbuka mwaka jana kuna makala moja nilikuwa nakiisoma online lakini kuna sentensi moja ambayo ilinigusa sana mpaka leo naikumbuka. Sentensi hiyo ilikuwa ikisema kwamba “Hakuna bidhaa ambayo...
0 Reactions
1 Replies
821 Views
Habari zenu wakuu, natumai mko safi. Siku kadhaa zilizopita nilitembelea makumbusho stendi na nilivutiwa sana na biashara ya simu ilivyoshamiri na jinsi vijana walivyochangamka katika uuzaji wa...
0 Reactions
33 Replies
10K Views
Kilimo cha Mahindi kinashika zaidi ya 55%,ya vilimo vyote nchini, Mahindi yanalimwa karibu nchi nzima. Soko la mahindi nchini limekua la utani sana hasa msimu wa 2020/21 mpaka sasa bei kwa gunia...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Habari wadau wa Mbeya wilaya ya Rungwe maeneo ya ndaga namba one na nitokela hadi uwanja wa ndege. Nahitaji kuwekeza katika biashara ya kuuza CD vifaa vya sola vifaa vya simu na ufundi simu...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Baada ya muda mrefu nimepata bahati ya kuja mjini DAR ES SALAAM nikaona maji ya kunywa brand mbalimbali ikiwemo Uhai, Hill nk zikiuzwa 500-600. Cha ajabu ujazo huohuo kwetu yanauzwa 1000 hii...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Wakubwa poleni na msiba...na mwenyezi mungu atubariki tupite salama katika kipindi hiki kigumu cha kumpoteza moja ya muhimili muhmu wa taifa letu.....turudi kwenye hoja..karibuni tujuzane ni zipi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimekuwa nikiona vinywaji hivi pichani, nikaambiwa ni soda tena ni tamu kushinda hizi tulizozizoea. Vipi zina ubora wake upoje? Na zinapatikana hasa mikoa gani?
2 Reactions
20 Replies
4K Views
Sijui kama utanielewa leo maana nina jambo kwaajili yako ambalo unaweza kulibeba kwa shingo upande. Umeshawahi kujikuta katika hali ya kusema maneno mengi ya namna unavyotaka kufika mbali na...
4 Reactions
5 Replies
2K Views
Sijui kama unajua kwamba kwa wakati huu unaweza kuwa na juhudi kubwa sana kwenye biashara yako ambayo umeanzisha na bado usifike sehemu yoyote? Au kwa lugha nyingine tunaweza sema ukawepo sokoni...
0 Reactions
1 Replies
901 Views
Kwa miaka takribani 15 sasa hakujawahi kutokea kuanguka kwa bei ya Mpunga. Kilimo cha zao la Mpunga kwa msimu wa mwaka 2020/ 2021 kinaleta mashaka makubwa. Bei ya wakati wa mavuno kwa gunia la...
3 Reactions
37 Replies
6K Views
Hili ni moja ya swali kubwa mbalo limekuwa likiulizwa na watu wengi kwamba watawezaje kupata wazo la biashara lenye faida katika maisha yao? Haswa kwa wengi huliuliza kwakuwa wanataka mafanikio...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari, Kutokana na umbali nilipo nimeshindwa kufika Brela kuulizia hili jambo. Imani yangu hapa JF kuna watu wanajua jambo hili. Je ni hatua zipi niweze kuzifuata ili kujitoa kuwa Director...
2 Reactions
6 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…