Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Naomba kujuzwa, kwenye App ya Flightradar24, ndege za Precision Air hazionekani wakati zinaruka kwenye anga la Tanzania, lakini zinapovuka mpaka na kuingia kwenye anga la Kenya zinaonekana. Ndege...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Nina ndugu yangu ambaye natamani sana msaidia sababu ana changamoto ya kazi. Sina pesa nyingi kwa sasa but nadhani angalau hiki kidogo nlicho nacho afanye kitu. Nina tsh 1,000,000. Nataka aipande...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu nilikuwa naomba kufahamishwa michongo ya kusambaza bidhaa mikoani au kutoka mikoani kuingia dar. Kwa anayefahamu ni mishe ipi iko poa au kama una connection yoyote eiza kuchukua vyakura kama...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Kwa mala ya kwanza siku ya jana nimefanikiwa kumpiga mhindi pesa mill 2 nilikuwa nahitaji kuifanya Biashara hii pesa niliyoipata, lkn changamoto imekuwa Aina ya Biashara ya kuifanya, msaada wa...
5 Reactions
21 Replies
4K Views
Naomba kufahamishwa mimi kama mjasiriamali mdogo ni biashara gani naweza kufanya zikaniinua kiuchumi maana mtaji nilio nao ni mdogo. Kama zitakuwa hata ni za kuingiza 10,000 kwa siku sawa tu...
2 Reactions
19 Replies
5K Views
Wanabodi, Lile Shirika letu la Ndege, ATCL, lililokuwa mkao wa kifo, baada ya kuwa hoi bin taaban huku jeneza la kuizika rasmi likiwa limeishaandaliwa, hatimaye sasa litafufuka, kwa kuibuka...
10 Reactions
103 Replies
13K Views
Karuturi Global Limited, an India-based company with interests in agricultural cultivation, food processing, floriculture retailing and information technology, plans to invest $2.5billion in...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Mh Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Zanzibar Mama yetu mpendwa Samia Hassani Suluhu sisi wafanyabiashara tunakuomba uondoe/utengue marufuku ya kila Jumamosi ya mwisho wa mwezi maduka...
6 Reactions
23 Replies
4K Views
Try these
3 Reactions
2 Replies
2K Views
Karibuni watu yeyote anaetaka kuchimba au kuwekeza katika mbachimbo ya Madini ya dhahabu Chunya tuna maeneo makubwa yaliyo fanyiwa utafiti Na wizara ya Madini kwa ajili ya machimbo ya dhahabu...
2 Reactions
17 Replies
8K Views
Habari zenu, Kuna technology mpya ambayo niko kwenye process za kuikamilisha ila ninahitaji kufunga antenna juu ya mnara ili system iwe katika efficiency kubwa. Naomba kwa anayefahamu bei za...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Hongereni kwa mapambano ya uchumi. Nimefikiria kuanzisha biashara tajwa hapo lakini sina uzoefu sana kama baadhi yenu humu.Kibnafsi location ya kupata mbuzi ipo nje kidogo ya mji na location ya...
2 Reactions
13 Replies
9K Views
Ndugu husika na kichwa cha habari chajieleza hapo juu. Ninahitaji niwe na biashara yangu lakini wakati nafuatilia laini za uwakala M-Pesa ,Tigo Pesa na Airtel Money , sehemu zote kuanzia Tigo...
3 Reactions
31 Replies
16K Views
Naomba kufahamishwa bei ya mbuzi WA size ya Kati na wakubwa, naweza kusuply zaidi ya mbuzi 200 kwa week. Nipeni bei na wateja au Madalali wa vingunguti tufanye biashara.
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Naomba msaada. Nawezaje kufanya biashara kimataifa kwa kupeleka bidhaa kama asali, samaki na dagaa wa ziwa Tanganyika nchi za nje ya Tanzania, hasa nchini Marekani. Channel zipi nitumie na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwanini wengi wanafeli katika ufanyaji wa matangazo ya kulipia katika mtandao wa instagram na facebook? Inawezekana na wewe kila mara unapofanya matangazo yako bado unapata matokeo mabovu na...
3 Reactions
8 Replies
3K Views
Moja kati ya mambo yanayonishangaza sana kuhusu binadamu na silka yake ni jinsi ambavyo maneno yanavyoweza ama kumjenga mtu au kumbomoa. Miaka mingi sana iliyopita,nikiwa kijana mdogo nimehitima...
2 Reactions
2 Replies
879 Views
Kifupi ni kwamba kufuatia agizo la magari yanayoagizwa nje kukaguliwa hapa TZ sijui na gereji ya UDA kwa gharama za muagizaji. Hizi kampuni 2 zimefungua ofisi DSM kutoa huduma hiyo bure kabisa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za Mwaka Mpya wanajamii forum nilikua naomba fursa ya biashara kwa wenyeji wa mkoa wa Mbeya
0 Reactions
16 Replies
9K Views
Ninapoandika andiko hili asubuhi,Mfukoni ni fedha TASLIM SHILING 5000,Benki nina Pesa Kidogo,Vijiasset kidogo sana,Madeni Makubwa sana na Malengo Makubwa sana.Najua hata wewe unayesoma hii unaweza...
7 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…