Fursa za uchimbaji dhahabu Chunya, Mbeya

rahman1

New Member
Apr 1, 2016
2
2
Karibuni watu yeyote anaetaka kuchimba au kuwekeza katika mbachimbo ya Madini ya dhahabu Chunya tuna maeneo makubwa yaliyo fanyiwa utafiti Na wizara ya Madini kwa ajili ya machimbo ya dhahabu mawasiliano 0769946256
 
Habari?

Embu jazia nyama?.pili jibu maswali yafuatayo.(a)maeneo hayo yapo chunya kubwa, chunya, matundas, itumbi, makongolosi, mkwajuni, bomba 2, saza, iseche, maleza, mbangala, pantamela kifupi nikubwa hapo nikwa uchache wapi?(b)tupe codes za eneo lenu kama PML/PL?(c)type sample ya juu inasoma ngapi? Ppm? Tuanzie hapo. MPE hi mchafu
 
Tuna leseni 20 Sawa Na hecta 200 mbigwa Mwamba unasoma gram 6 kwa tone
 
Habar Mr.rahman1.umesema mna lesen 20 'embu jazia nyama hapa.'PILI unasema tan 1 mnapata gram 6,je?sample ya hapo inasoma ppm ngapi? Kwa jiwe na ukisha lichakata jiwe powder yake 'rudio'linasoma ngapi?
 
Habari?

Embu jazia nyama?.pili jibu maswali yafuatayo.(a)maeneo hayo yapo chunya kubwa, chunya, matundas, itumbi, makongolosi, mkwajuni, bomba 2, saza, iseche, maleza, mbangala, pantamela kifupi nikubwa hapo nikwa uchache wapi?(b)tupe codes za eneo lenu kama PML/PL?(c)type sample ya juu inasoma ngapi? Ppm? Tuanzie hapo. MPE hi mchafu
Mkuu umenikumbusha mbali sana hapo mkwajuni kuna wana walikuwa wakutoka Shanta Gold Mining wakitua hapo ilikuwa ni noma sana
 
Karibuni watu yeyote anaetaka kuchimba au kuwekeza katika mbachimbo ya Madini ya dhahabu Chunya tuna maeneo makubwa yaliyo fanyiwa utafiti Na wizara ya Madini kwa ajili ya machimbo ya dhahabu mawasiliano 0769946256
Hyo ppm 6 ni kwaludio au jiwe mzee
 
Fanya kama hivi kuepuka usumbufu mbona rahisi tu, wawekaji mje sasa.
IMG-20210128-WA0000.jpg
 
Haya wale wa kupanda bajaji kutoka mkwajuni hadi saza tujuane, na wale tulioanzia safari mbalizi kwenda mkwajuni Mbepo mabasi bado yapo? Wale tuliopata hasara ya unga na dagaa kwa kuwalisha wana na bado mambo hayakusoma tukaondoka tufahamiane
 
Karibuni watu yeyote anaetaka kuchimba au kuwekeza katika mbachimbo ya Madini ya dhahabu Chunya tuna maeneo makubwa yaliyo fanyiwa utafiti Na wizara ya Madini kwa ajili ya machimbo ya dhahabu mawasiliano 0769946256
Acha kudanganya maeneo yote yameshatwaliwa na watu na wanaleseni na kwa taarifa yako GST walifanya utafutaji Madini kwenye leseni za watu
 
Haya wale wa kupanda bajaji kutoka mkwajuni hadi saza tujuane, na wale tulioanzia safari mbalizi kwenda mkwajuni Mbepo mabasi bado yapo? Wale tuliopata hasara ya unga na dagaa kwa kuwalisha wana na bado mambo hayakusoma tukaondoka tufahamiane

Msalimie mchafu
 
Back
Top Bottom