Biashara ya kimataifa!!

Biashara ya kimataifa!!

Panomukailila

Member
Joined
Feb 16, 2021
Posts
5
Reaction score
0
Naomba msaada.

Nawezaje kufanya biashara kimataifa kwa kupeleka bidhaa kama asali, samaki na dagaa wa ziwa Tanganyika nchi za nje ya Tanzania, hasa nchini Marekani.

Channel zipi nitumie na kiasi gani naweza safirisha kwenye nchi hiyo.
 
Back
Top Bottom