Ni biashara ya usambazaji wa nyama za mbuzi katika mabar hapa mjini dar es Salam.
Mbuzi unawatoa mikoani na kuwaingi hapa ndani na kuwa chinja na kuchuna na kisha kuwasambazia ware walio kupa...
Kwema wadau nilikuwa naomba kujua je eneo la Kisesa Mwanza ni pachangamfu kufanya biashara ya vinywaji baridi soda maji n.k au ya nafaka kwa Bei ya rejareja
Mwenye uzoefu na biashara hizo kwa...
Leo naomba tupate utaratibu kuhusu mikopo inayotolewa na taasisi za kifedha za kiislam kama Amana bank, NBC Islamic account n.k.
Utaratibu wao upoje. Mikopo yao huchukua muda gani mpaka umalizapo...
Habari za kazi wakubwa
Biashara ya mkaa Ni biashara ambayo inawez kukutoa kutoka sehemu moja kwenda nyingine ,hivo kwa fursa hyo napenda yeyote ambaye atakuwa vizuri tuwekeze pamoja katika...
Naombeni anayeweza kunisaidia afanye ivo, Mimi ni mjasiriali kwa kweli angalau matokeo nayaona , lakin sasa natamani nichukue mkopo ili niweze kujitanua zaidi .
. biashara ina documents zote, tin...
Wengi tunataka magari ya bei nafuu, hii hupelekea kujikuta tuko tayari kununua gari bila kufanya uchunguzi wa kina, baada ya kujiridhisha kuwa gari unalotaka kununua lipo katika hali...
Tulilia uhuru wakati hata barabara za lami mikoani zilikuwa hamna. Elimu ilikuwa bado kulikuwa hamna maendeleo yeyote wala miundombinu ya kuleta maendeleo katika nchi ona sasa miaka zaidi ya 60...
Duka linapatikana njiro 88 pick n pay
Baada ya crdb
Room no 8
Nguo nzuri za kike ziko kwenye punguzo
Suruali za vitambaa 10000 ukipata kuanzia 5 @8000
Magauni 10000
Skirt 10000
Jeans 8000...
Hawa jamaa wanafanya maisha yanakuwa magumu.. wanatusababishia hasara kubwa, wanakata umeme bila taarifa yoyote Ile.
Wanatakiwa wawe na namba za customer care kama ilivyo Kwa mitandao ya simu...
Je Kuna mashine za kuosha makapeti?
Kwa yeyote mwenye ufahamu juu ya jambo hili naomba anijuze tafadhali , maana kuna makala moja nimesoma nikaona kwamba sehemu ambazo wanaosha magari wanafanya...
Habari zenu wanaJAMII
Kwa wale ambao pengine wanamfahamu BENJAMIN FERNANDES ama umekuwa ukimfuatila katika kurasa zake za mitandao ya kijamii hasa Instagram na Facebook. utakuwa umekutana na...
Taifa kama taifa ni LAZIMA litafute namna ya kuchukua pesa za wanaobet ili kuziingiza kwenye mfumo unaoleweka wa kiuchumi!!!
Tukitumia mfano wa mtu anayefahamika na wengi kwa mfano, Diamond...
Habari za muda wakuu.
Hapa nimepata fursa nzuri kidogo ambayo natarajia kuifanya lakini sitaki kukurupuka.
iko hivi , kuna rafiki yangu yuko canada nimemwomba anitaftie computer for...
Wakuu nipo Dodoma huku ni fundi simu, changamoto ya Dodoma hawana vifaa vingi huwa napata changamoto baadhi ya bidhaa wateja wakihitaji kama hapa kuna battery ya sony xperia xz nilikuwa nahitaji...
Kumekuwa na changamoto kubwa kuhusiana na lipi ni eneo sahihi la kuiweka biashara yako,watu wamekuwa na kasumba na kujifanyia hadi imefikia hatua hawajui athari zimeletwa na nini. Na hii...
Tumeshusha RIBA
Leo tumetangaza punguzo kubwa la riba za mikopo ya kilimo na mikopo ya wafanyakazi ili kuchochea ukuaji wa uchumi nchini;
[emoji2389] Riba ya mikopo ya kilimo imepunguzwa kutoka...
Nimekuwa mnunuzi wa bidhaa mbali mbali kutoka China kwa kupitia kikuu ambapo bidhaa naipata kwa siku 14 na sijawahi pata tatizo lolote..Lakini changamoto nayoona kikuu Wana wigo mdogo wa bidhaa...
Habar wakuu ...kama kichwa cha habar hapo juu
Namuomba yeyote mwenye ujuzi juu ya cryptocurrency ajitokeze kuna kitu aniseidie kutatua
Iko hivi nili meet na manzi mmoja kwenye social network...
Kwa bei za kahawa zilizoanishwa na Benki ya Tanzania, kuanzia mwaka 2002 hadi mwaka 2020 bei ya kahawa aina ya Arabica imekuwa kubwa kuliko bei ya robusta kwa mauzo ya kilogram moja kwa Dola za...
Kama unataka kuingia kwenye kilimo ni muhimu kujua bei za soko za bidha unazotaka kujihusisha nazo ili kujua zao ambalo litakulipa zaidi na ukajikwamua kiuchumi
Kwa takwimu zilizopo bei ya Kilo...