Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

THE LAW OF DIMINISHING MARGINAL RETURNS Diminishing ni kupungua kwa kitu Marginal return ni faida ambayo unapata kutoka kwenye kitu flani. Hii sheria inaelezea kwamba mwanzoni unavyoanza kitu...
7 Reactions
6 Replies
1K Views
Salamu wakuu. Natumaini mko wazima na Afya tele. Nilikuwa na wazo la kuanzisha biashara ya uuzaji wa PIKIPIKI Mfano: FEKON na BOXER. Nimekuwa nikinunua pikipiki tangu Mwaka jana kwa ajili ya...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Jabari za wakatii huu kiongozi & Viongozi mliopo huku JamiiForums natumaini yangu wazima mimi nikijana wa miaka 20 nataka nijiajiri ila sijui nijiajiri kwenye shuhuli gani msaada wenu kazi ipi...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Tunaziomba Benki kuweka utaratibu uliokuwa bora na sahihi kwenye ATM asa kwa watu ambao watasaidia kuwaelekeza watu ambao hawana uelewa mpana wa matumizi ya ATM. Nayasema haya kwa maana juzi...
0 Reactions
2 Replies
768 Views
  • Closed
Ni wiki mbili zimepita nimejiunga kwenye crypto currency baada ya kulazimishwa na rafiki yangu. Alinisihi sana nikasita. Aliniambia sasa hivi kabla ya October kuisha ukiwekeza kwenye coins sahihi...
17 Reactions
225 Replies
35K Views
Hello wana jukwaa nawasalimu katika jina la jamhuri ya Muungano wa Tanzania [emoji1241] Kama kichwa cha habari kinavyosema nina mtaji wa M4 na nashawishika kufanya biashara ya kuwa blocker/dalali...
2 Reactions
34 Replies
5K Views
Habari za masiku ndugu zangu, Kwa wale wataalamu wa software au wenye fani ya uhasibu nilikuwa nahitaji kijua program ipi ambayo naweza kuitumia kutunza kumbukumu zangu za kifedha hasa kutoa...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Msaada kwa mtu anayejua fursa za kibiashara kati ya nchi ya Tanzania na Ufaransa, ni bidhaa zipi zinatoka sana hapa kwetu kwenda huko na ni bidhaa zipi zinaingia sana huku. Lakini vile vile kipi...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kama na wadau wengine walivyoeleza idadi ya watu kwa Tanzania inakua kwa kasi sana wakati ardhi iko fixed hivyo basi kupelekea thamani ya ardhi kupanda kila uchao. Kwa maoni Yangu na analysis...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Kwenye maisha huwezi kupata kila kitu unachokihitaji hii ndio tunaita Scarcity of resources kwenye uchumi. Kwenye mchoro imewakilishwa na point F. Inamaana hiki ni kile kitu ambacho unakitamani...
1 Reactions
0 Replies
917 Views
Hivi biashara za online ni kwa ajili ya wadada tu?. . Nauliza Hivi Kwa Sababu asilimia Kubwa Ya Wanaofaya Online Business ni Wadada. . Je Wanaume Hawaruhusiwi Kufanya Hii Biashara au ni Mindset ya...
3 Reactions
2 Replies
537 Views
Personal Fınance, Hili ni somo muhimu sana ambalo kila mwanadamu angeweza kuliishi basi tungekua tumefanikiwa kuwa na uhuru wa kifedha kwa asilimia kubwa sana. Personal Finance ni uwezo wa...
2 Reactions
5 Replies
4K Views
Amani iwe kwenu wana Jamvi, Poleni na Majukumu. kama kichwa cha habari kinavyojieleza mie ni kijana Me 27yrs nimwajiriwa lakini nimeweza kujichanga kutokana na Mshahara na marupupu mengine...
7 Reactions
89 Replies
22K Views
Habari mdau! Nina Tamani sana kuwekeza Zanzibar. Nahitaji mawazo na ushauri kwa waoifaham vizuri. Pros and Cons Upatikanaji ardhi(beach Au inland) Service Demands Challenges. Nitashukuru sana.
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Mapolisi wasio na weledi wakiamua kuingia kwenye biashara zako huwa ni wakorofi sana na ni hatari sana. Je uliwahi kukutana na usumbufu wao kwenye biashara yako. Kuna muuza laptops flani...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Natumaini mnaendelea vema katika harakati za kuusaka mkate wa kila siku. Nimekuja hapa nahitaji msaada, kuna malipo natakiwa kupokea, lakini njia nilizokuwa natumia kupokea fedha kutoka kwa watu...
1 Reactions
56 Replies
5K Views
Wakuu habari. Rejea kichwa cha uzi. Ninataka kujua nini kilisababisha hawa giant kufa kifo cha mende. Nini shida na walikuwa na prospect kubwa sana ya kugrow. Na nataka kujua zile pos machine...
5 Reactions
34 Replies
5K Views
Habari wakuu, habari za kushinda? Poleni na majukumu. Siku ya leo nimeona post ya bbcswahil kuhusiana na almasi ya ajabu iitwayo enigma. Sasa nina jiwe kama hilo niliokota miaka 7 iliyopita...
0 Reactions
5 Replies
726 Views
Mtaji Tsh 700,000 unatengeneza mikokoteni 10 kila mmoja kwa Tsh 50,000 jumla mikokoteni 10 Tsh 500,000 unatafuta vijana 10 unawapa mikokoteni na kila mmoja mtaji wa miwa wa Tsh 20,000 jumla kwa...
6 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari Ngudu Wanajamii naomba kusaidiwa kwa yeyote mwenye uzoefu, Je! ni vitu gani vya mhimu kujiridhisha navyo kabla ya kufanya maamuzi ya kununua kiwanja au plot hasa vya makazi au biashara .
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…