Basham
JF-Expert Member
- Oct 10, 2014
- 743
- 429
Amani iwe kwenu wana Jamvi,
Poleni na Majukumu.
kama kichwa cha habari kinavyojieleza mie ni kijana Me 27yrs nimwajiriwa lakini nimeweza kujichanga kutokana na Mshahara na marupupu mengine nimeweza kupata kiasi hicho cha Fedha.
Nmefikiria nikaona ni muda muafaka kwa mimi kauchia ngazi ili nikajiari katika ujasiriamali. Je ni biashara gani ambayo inaweza kunitoa na yenye Return nzuri. Mie binafsi niko Interested na hizi zifuatazo lakini kama mnavojua dunia ina opportunity nyingi inawezekana kuna ambazo mie siziwazi/ sizijui lakini zina lipa vizuri tuu na Humu kuna wajuzi wakubwa wa Mambo ya Biashara wanaweza nishauri na kunipa Muongozo mzuri
1. Vyakula - Mahindi/Unga/Mchele/Mafuta ya kula ya Alizeti
2. Spea za magari/Bajaji na Pikipiki
3. Kilimo cha umwagiliaji
4. Mgahawa/Bakery
Naweza ishi na kufanya biashara mkoa wowote wenye fursa nzuri
Thanks in advance
Mie ni mwanafunzi najifunza kwa hiyo nitaheshimu na kushukuru kwa ushauri na mawazo yotee ya Member
BM
Updates
Nmenunua Bajaji Mbili hesabu kwa Siku ni 40k kwa zote mbili na chenji imebaki nitafungua Spea za Bajaji