Elon Musk has a lot to thank Twitter Inc. investors for, as he has already made more than $1 billion after disclosing that he bought a boatload of the social media company’s stock
In a 13-D...
Habari,
Samahanini kwa kurejesha huu uzi jukwaani kwa mara nyingine!
Kwa wenye uzoefu na kazi hii au wateja wao naombeni mchango wenu wa kimawazo:
• vifaa vinavyohitajika ili kufanya shughuli...
Kuna wakala rafiki yangu nimempa pesa ya kunitengenezea laini za uwakala lakn katika lain 3 moja ndio ipo tyr nyingine nazungushwa wiki na nusu saiv kila siku kesho madai yao system inazingua na...
Habari wanabodi? Ni matumaini yangu makubwa kuwa hamjambo humu ndani na manaendelea na ujenzi wa Taifa letu na harakati za kusaka mkate wa kila siku.
Bila kupoteza muda, ni kwamba kumekuwa na...
Habari za kwako binafsi usomae Bandiko hili, Natumaini uko poa sana. Eeeh bhana mimi ni mtumishi na mjariamali pia. Katika harakati za ujasiriamali nilifungua duka la Dawa Muhimu (DLDM). Kama...
Habari wana Jamii Forums,
Ni kauli ambayo nilipatiwa na mfanya biashara mmoja anaefanya shughuli za kubandika kucha, kupaka rangi, massage na ususi ingawaje hakutoa maelezo ya kina zaidi...
Naomba kwa wazoefu wa hii Mambo, namna ya kupata mashine za uwakala NMB, nimefuatilia sana bank lakini napigwa danadana mnooo mpaka sasa ni miezi 9 imepita bila mafanikio, mwenye uzoefu na hii...
Vitu vingine ni Rahisi sana.
Russia anachangia sehemu kubwa ya mauzo ya nishati duniani na sasa kawekewa vikwazo. Maana yake soko la mafuta ya waarabu litavamiwa na wanunuzi weongi na kwahiyo bei...
Toka mwaka 2011 tunahangaika sana na suala la nishati ,hivi ni wafanyabiashara gani wenye kuhodhi biashara hii Tanzania?
Kama unawafahamu wataje humu jamvini.
Rais Kikwete aliwahi kunukuliwa...
Naomba kuuliza, mbali na kubandika na kupaka rangi kucha! Ni kitengo kipi cha saloon za kike kinachoweza kufanywa huku ukitembea kuwafuata wahusika?
Pia, kwa yeyote mwenye ujuzi wa biashara ya...
Habari zenu poleni na majukumu nahitaji kijana kwa ajili ya usimamizi wa hii biashara ya pweza na vitoe vyengine
Mashart:
-Awe anajua kupika pweza,kachori,bagia akijua kupika bites kma chapati za...
habari za uzima wananzengo Nina mpango wakuanzisha biashara ya asali mbichi
[emoji117] Nataka nijue upatikanaji wake kwa Bei ya jumla
[emoji117]Bei yake ili na Mimi nikiingia mtaani nisambaze...
Naombeni msaada namna ya kukopa kwa kutumia app iliyo kwenye simu ya Aquas zero?
Jamaa zangu wawili wamevuta mpunga na mwingine katumia Samsung, maana hiyo app iko installed na simu direct kutoka...
The D-Prize Global Competition is live and seeking new social entrepreneurs! D-Prize challenges bold new leaders to tackle extreme poverty. This year, as many as 30 teams will be awarded with up...
Jambo lilonishangaza baada ya mzungu mmoja kutoka ufaransa kufakamia maparachichi.
Nikamuuliza mbona unakula sana haya maparachichi ndipo kunifungulia ukweli kuwa ni bei sana kwao .
Kumbe tuna...
Hii ni siri nakupa kama unataka kufanikiwa
Wafanyabiashara wengi tunapenda kuonekana kwenye biashara zetu bila sababu ndio upelekea kuishindwa au kuanguka.
Wafanyabiashara wakubwa hawapendi...
Habari wana jamvi,
Ndugu zangu naombeni ushauri kuhusu biashara ya kuuza sigara jumla na rejareja, pipi Kali, big G n.k. changamoto zake, mtaji upi ni mzuri, na kwa dar wapi naweza pata mzigo kwa...