John kirua
Senior Member
- Dec 7, 2021
- 143
- 108
Kuna wakala rafiki yangu nimempa pesa ya kunitengenezea laini za uwakala lakn katika lain 3 moja ndio ipo tyr nyingine nazungushwa wiki na nusu saiv kila siku kesho madai yao system inazingua na ukizingatia nimetoa pesa ya laini za haraka ilinipate kwa siku 1 je? ni fanyaje.