Thaconfession
JF-Expert Member
- Jun 16, 2021
- 301
- 594
Naomba kwa wazoefu wa hii Mambo, namna ya kupata mashine za uwakala NMB, nimefuatilia sana bank lakini napigwa danadana mnooo mpaka sasa ni miezi 9 imepita bila mafanikio, mwenye uzoefu na hii mambo tafadhali naomba darasa!
Nawasilisha
Nawasilisha