Msaada: Anayefahamu biashara ya kubandika na kupaka rangi kucha wakina dada

Mimi Melki

Senior Member
Mar 31, 2022
155
256
Habari,
Samahanini kwa kurejesha huu uzi jukwaani kwa mara nyingine!

Kwa wenye uzoefu na kazi hii au wateja wao naombeni mchango wenu wa kimawazo:

• vifaa vinavyohitajika ili kufanya shughuli hii pamoja na gharama zake! (Ikiwezekana picha japo sio lazima)

• mahali ninapoweza kupata mafunzo ya jinsi ya kubandika na kupaka rangi kucha, ikiwezekana gharama ya mafunzo na kwa muda gani! Pia niliwahi kupata pendekezo la kujifunza kupitia You Tube, kwa aliyefanikisha kupitia njia hii anipe mwongozo

• pia utofauti uliopo kati ya rangi za kawaida na zile za unga na Gel pamoja na bei zake dukani!

• mahali ambapo nitapata hivi vifaa kwa urahisi hapa Dar!

• changamoto za biashara sana sana kwa mimi nitakaefanya biashara hii kwa kutembea kuwafuata wateja!

Msaada wenu tafadhari!
 
Changamoto kubwa ni kubakwa tu, hasa ukiwa unaenda majumbani kwa majimama.
 
Back
Top Bottom