Masoko ya hisa Tanzania yanaendelea kukua na kutoa fursa mpya kwa wawekezaji wa rejareja na taasisi. Zamani, watu wengi walizoea kuwekeza moja kwa moja kwenye hisa za kampuni kama CRDB, NMB...
Mkombozi Commercial Bank Plc imetangaza gawio la TZS 100 kwa kila hisa kwa wanahisa wake kwa mwaka wa fedha ulioishia tarehe 31 Desemba 2025.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na kampuni, gawio...
Tujulishane kama una magari mabovu, chuma, copper, brass, alluminium, cast, betri mbovu ya gari nk... Tuko Mikocheni aDar es salaam. Pesa yako unalipwa hapohapo, bei zetu ni nzuri.
Wakuu...
Nchi zinazoongoza kwa uwekezaji mkubwa Tanzania, kulingana na ripoti rasmi kutoka Kituo cha Uwekezaji Tanzania - TIC, zinajumuisha mataifa mbalimbali ya kikanda na kimataifa yanayowekeza kwenye...
Watu wengi hufanya kazi kwa bidii ili kupata pesa, lakini si wengi wanaojifunza jinsi pesa zinavyofanya kazi. Moja ya misingi muhimu kabisa ya kujenga utajiri ni kuelewa tofauti kati ya Asset na...
1. Utangulizi
Hisa Kiganjani ni mfumo wa kidijitali wa Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) unaomwezesha mwananchi kuwekeza katika masoko ya mitaji kwa kutumia simu ya mkononi, kompyuta au huduma ya...
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Kutokana na kuenea kwa elimu ya fedha, kwa sasa Watanzania wengi wamehamasika kuwekeza kwenye soko la hisa la Dar es Salaam Stock Exchange (DSE).
Cha...
Kwenye suala la biashara ni kugumu sana jamani, kuna watu wanaanza biashara zinashindikana licha ya jitihada ila ngoma inagoma kwenda mpaka mtu anasema isiwe tabu anaamua kufunga.
Wengine ni...
Mikopo ya vijana, wanawake na watu wenye ulemavu imeanzishwa kwa lengo jema, hasa katika kipindi hiki ambacho changamoto ya ajira imekuwa kubwa nchini. Mfumo huu umekuwa msaada muhimu kwa wengi...
Wakuu Za Wakati Huu Na Hongereni Na Majukumu Ya Ujenzi Wa Taifa Letu".
Awali ya Yote Sijajua washauri wa Uchumi Wa Taifa kwa Madam President ni kinani?ila Binafsi naona Move Tuliochagua Kama...
Habari za muda huu waheshimiwa, Salam.
Kabla ya yote, nipende kutanguliza shukrani zangu za dhati kwa maoni mtakayokwenda kuandika hapa, nami nitayachakata kwa uhalisia. Asante sana.
Kama kichwa...
Mkopo wa Sh. 100,000 — Hesabu Halisi
Pasaka hii nilikuwa napiga story na baba mdogo wangu huku kigamboni kuhusu mikopo “kausha damu”. Alipata mkopo wa Sh. 100,000 kwa muda wa siku 30, na malipo ya...
Ndio wengi hujaribu kabla ya kuingia rasmi je ulitumia mbinu gani Kwa wateja wa mbali na karibu usiseme tu mtandao SEMA SIRI YAKO YA MAFANIKIO.
Itasaidia wengine kuepuka kukurupuka na mitaji yao...
Habari za leo wakuu,
Mimi ni kijana wenu mhangaikaji. Leseni yangu ya biashara ya hardware imefikia ukomo, na nilihitaji kuirudia kupitia Tausi Portal. Changamoto niliyonayo ni kuwa sioni sehemu...
Lead generation is hard, Offer creation is hard, Sales and closing is hard, Showing up on social media daily is hard.
Do you know what is harder? Not leveraging on Facebook and Instagram ads.