Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

ZOEZI LA UTOAJI/UUZAJI VIWANJA KWA MNADA Ukubwa wa kiwanja:600SQM yaani 20 kwa 30m Eneo la Mradi:LUGOBA. BEI ya kiwanja 230000 ZINGATIA [emoji1428]Hati zitatolewa siku hiyo hiyo na uongozi wa...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Kuna suala limetrend sana kwenye mitandao ya kijamii kuhusu wizi wa vifaa vya magari. Unakuta umepaki gari lako usiku ukija asubuhi unakuta show yote ya mbele hakuna, taa zimetolewa..wakiweza...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Samahanii naitaji kujuwa beii za jumla za simu ndogo na cover za simu kwa beii ya jumla na redio speaker za bluetooth zile ndogo kwa beii ya jumla pia na headphones kwa beii ya jumla nasubirii...
1 Reactions
5 Replies
5K Views
Kampuni ya Vodacom Tanzania imetangaza kumteua Ndg. Philip Besimire kuwa Mkurugenzi Mtendaji mpya kuanzia Oktoba 25, 2022. Philip anajiunga kutokea kampuni ya MTN ya Afrika Kusini, alipokuwa na...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Nahitaji roli la kubebea mzigo songea hadi pwani mwenye nafasj piga 0629812001
0 Reactions
0 Replies
365 Views
Habari wana jukwaa, ndugu zangu nipo Morogoro nina ukwaju mwingi, kama kuna mtu anajua soko lilipo au aniunganishe na masoko. Natanguliza shukrani zangu[emoji120][emoji120][emoji120] Namba zangu...
1 Reactions
1 Replies
778 Views
Wakuu Kuna kitu hapa natamani tujaribu kujadiliana kwa pamoja juu ya hii biashara ambayo imeonekana kuacha watu wengi na maswali huku watu wengi pia wakiwa na majibu. Tujadiliane kuhusu biashara...
3 Reactions
76 Replies
29K Views
Nataka kuanza biashara ya kuuz tyles nina mtaji wa m4
0 Reactions
2 Replies
491 Views
Wauza magenge hasa wauza dagaa kuna kero huwa mnanipa sijui ndiyo mnawahi muda au ubize. Kitendo cha kupima dagaa au samaki waliokaangwa kwa mkono ambao haujavaa chochote au haujatumia kitu...
6 Reactions
14 Replies
921 Views
Habari Wanajamii. Kuna siku moja isiokumbukwa Jina nikiwa kwenye mishe mishe zangu za utafutaji nilikwenda Kariakoo kununua material za kutengeneza maasai sendo, baada ya kumaliza manunuzi yangu...
6 Reactions
35 Replies
3K Views
Yes wakuu, Ni mwaka mwingine huooo, its always about kupambana na maisha na kutafuta ugali pale palipo na unga mwingi. Naongelea penye kasi kubwa ya ukuaji, nguvu ya manunuzi inayoongezeka...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
What you have to understand is that you're competing in an environment full of very talented, smart and highly motivated competitors. The guy on the other side of the trade, is as eager to make...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wanabodi! Baada ya kuanza na biashara ya stationery na kwa faida kiasi ninayoipata, nimeona niwaze kufanya makubwa zaidi katika tasnia hii ya stationery kwa kumiliki mashine kubwa kabisa...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu, Wanaofahamu biashara ya pool table tukutane hapa maana nasikia kuna hela nyingi huku. Je, ni kweli?
2 Reactions
24 Replies
8K Views
MILLING AND PIG FARMING AGGREGATE PROJECT Introduction; This is a minor local conglomerate project chiefly involving owning and commercially operating milling machines which husk and/or grind...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimeingizwa kwenye kundi linaitwa AFRIC INVESTMENT, wanataka niinguze hela na kuvuna kwa utaratibu kama ule wa DECI. Anayelifahamu kundi hili atujuze, naona dalili ya kupigwa!!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habarini wanajukwaa? Nilikuwa naomba kufahamu bei ya mchele kwa kilo kwa sasa ikoje Dar es Salaam na ikoje pia Nairobi Kenya? Shukrani.
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Wakuu nahitaji kuingia kwenye biashara ya mabegi ya mtumba kunawateja wanachukuwa mzigo Tandika mezani kwa bei ya elfu 4 hadi elfu 5. Naomba kufahamu ni wapi eneo sahihi la kupata mabegi safi ya...
3 Reactions
1 Replies
2K Views
Hasa kwa vijana wanaokaa DSM ambapo biashara ya nyama(bucha) haifungamani na utumbo. Kwa wale wenye mitaji midogo pungufu ya laki 6 ningeomba kidogo wajaribu kufanya uchunguzi wa biashara ya...
58 Reactions
50 Replies
25K Views
Back
Top Bottom