Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari wanajamvi, mimi nipo Tanga lakini maeneo ya kijijini. Kwa muda niliokaa huku mambo ya kilimo yamegoma hasa kwa sababu ya hali ya hewa. Sasa nikafikiri kufungua biashara tofauti hata mbili...
5 Reactions
90 Replies
84K Views
Habari wanajasirimali wote. Nafikiri kufungua taasisi ya kukopesha fedha kwa kutoa mikopo ya wafanyabiashara na watumishi hasa taasisi za serikali na binafsi. Naomba kupatiwa uelewa wa namna ya...
1 Reactions
21 Replies
6K Views
Naomba msaada wa kujua taratibu za kufungua real estate company kwani nina eneo la hekari 15 Kigamboni (Dsm) la urithi karibu na fun city, sasa sijui taratibu za kufuata ili kufungua kampuni japo...
2 Reactions
10 Replies
6K Views
Habari zenu wakuu nimekuja na wazo la kuanzisha biashara ya vifaa vya kutolea huduma ya afya kwa mfano microscope, blood pressure tester, injector na vifaa vingine vinavyo tumika kutolea huduma ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani naona watu kibao wanaparangana kutafuta haya maji ya mwamba. Sasa naomba kuuliza, pia mmoja ama kama kunamtu anaconnection ya uhakika ya soko la hii kitu naomba tutafutane. Kama wewe...
4 Reactions
35 Replies
16K Views
Habari wakuu, Mimi ni mjasiliamali mdogo, ningependa kufahamu jinsi ya kujua mahali na tarehe ambapo hufanyika maonyesho ya kibishara ya mara kwa mara (tofauti na yale maonyesho ya kitaifa kama...
2 Reactions
10 Replies
834 Views
Habari JF. Kwamtazamo wangu wengi tunaogopa kuagiza vitu kutoka hizi sites kama AliExpress,ebay,Amazon n.k Baada ya kusoma nyuzi nyingi hasa za Mwl.RCT basi namimi nikaona nijaribu. 1.Nilianza...
7 Reactions
111 Replies
31K Views
Habari wangudu, Nimeona niweke hapa business idea yangu ya kufungua retail shop in one on the medium populated areas hapa dar. Nataka kufungua duka ambalo litakuwa na groceries (eg mafuta ya...
3 Reactions
143 Replies
98K Views
Habari wanajamii, sijawahi kuona huduma mbovu za usafirishaji wa nchi kavu kama hizi za basi la AIFOLA EXPRESS linalofanya safari zake Dar-Kigoma, wahudumu wanakauli mbaya, hawajali wateja wao sio...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Ni biashara ipi kwa Dar naweza kuifanya kupitia huo mtaji..?
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Habarini za muda huu wana Jf Kwanza nipende kumshukuru Mungu Kwa kuweza kuiona siku ya leo bila kupoteza muda niende Moja Kwa Moja kwenye mada. Mimi ni kijana wa umri wa miaka 27 nimemaliza chuo...
1 Reactions
12 Replies
8K Views
Eneo lenye ukubwa wa heka 45 linauzwa eneo lipo mkoa wa pwani vigwaza visezi barabara ya kuelekea bandari kavu eneo ni zuli kwa kujenga yard gereji na Mambo mengine bei kwa kila heka moja mil 3 tu...
0 Reactions
3 Replies
993 Views
Natumai muwazima wa afya .Kuna wakati/ama umri ambao kuna jambo unaona ungelifanyaga lingekusaidia zaidi mbelini ama kukuweka fiti kiuchumi .Ulifikiria jambo gana? ukiwa na umri kati ya miaka...
0 Reactions
2 Replies
388 Views
Habari wana Jamiiforums, Nauliza, Hivi utaratibu wa kupata bank account kwa jina la biashara yako upoje kwa upande wa Zanzibar? Na hii sio kampuni bali ni Business Name. Wanaojua naomba msaada...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Bunge la Uganda limelaani azimio la bunge la Umoja wa Ulaya linalozitaka Uganda na Tanzania kusitisha maendeleo ya miradi yao ya mafuta na gesi katika ukanda wa Afrika Mashariki. Katika kikao cha...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
watanzania tukisikia unatajirika haraka basi wote tunakuja haraka utazani wakimbizi. sio watu waliopoteza pesa kwenye forex tu hata haya mzungumzi na kujifanya wakimya. kama...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Hisense smart 4k inch 55 iko creen inafaa kwa matumizii ya kuonesha banda la mpira au pia nyumbn beii million 1.1 ni check tumalizane location mbagara kijichi 0685 809 502
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Nisaidieni ushauri wana jamiiforum, nataka pembezoni mwa mji zaidi. Ningependa nianze biashara ya Hardware ila changamoto ni eneo lenye ujenzi wa kasi zaidi na upungufu wa Hardware shops Je...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Niseme tu ukweli, upepo wa Forex ulivoingia Tanzania na mimi sikuwa nyuma. Nilijitoa na mimi kimasomaso kuisaka fursa. Kwa takribani miaka 3 kwenye game la Forex, imekuwa ni miaka ya kujifunza...
60 Reactions
176 Replies
29K Views
NMB BANK PLC LEO Namshukuru Mungu siku ya leo nimeshiriki shughuli ya uzinduzi wa huduma mpya tatu za bank yetu pendwa Nmb bank Plc katika ukumbi wa Hyatt Regency Dar es salaam,The Kilimanjaro...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…