Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wakuu nimepata zali na mtot wa kituruki ameniachia noti mbili 5200 Sas natafuta sehemu au bureau ambayo naweza kubadilisha fedha hzo nizipate za kitaanzania Naombeni msaada Ni bureau ipi Ina...
2 Reactions
124 Replies
10K Views
Ndugu wapendwa, hongereni kwa jukumu la kujenga taifa. Nimekuja hapa na kazi iliyokamilika, anaetaka tupige kazi unakaribishwa. Nimetengeneza website ya utalii, ambayo itawasaidia watu wa...
2 Reactions
4 Replies
981 Views
Ndugu wanaJF Nimeona nishirikishe wasio na ajira rasmi kazi nitakayoieleza kwa mapana katika uzi huu (kwa vitendo kuanzia ufanyaji wa hali ya chini (kiwango duni) hadi kiwango cha juu) huku...
1 Reactions
4 Replies
828 Views
Kwa sasa ni Nchi Nyingi sana kuna Mfumuko wa Bei, Lakini kufikiri kwamba sababu Marekani kuna Mfumuko wa bei basi na Tanzania lazima uwepo hayo ni Mawazo ya Walioshindwa . Hivyo ni Bora...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Kwa sasa watu wengi ambao walishakuwa katika hali nzuri ya kiuchumi wanawataka vijana waweze kujiajiri, kiukweli ni sahihi kulingana na hali ilivyo lakini tatizo kubwa linalowakabili vijana ni...
2 Reactions
3 Replies
575 Views
Habari wana jamii forum Changamoto iliyopo mtaani sasa hivi ni tatizo la kupata wateja na kuongeza mauzo kwenye biashara limekua ni swala gumu sana , jobless wengi wanaanzisha Biashara na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kama utamaduni tuna embassies katika nchi nyingi. Na nje ya Balozi kunakuwa na Balozi mdogo, Councillor na office staff. Binafsi sijui hasa hawa mabalozi huwa wanafanyaga nini? Hivi baada ya...
0 Reactions
26 Replies
8K Views
Habari zenu, Miaka ya nyuma tulizoea kuwa dagaa ni mboga ya watu wa hali ya chini lakini nimeshangaa sehemu ninayoishi kwa sasa nyama ndio imekuwa mboga watu wa hali ya chini tunaweza kuimudu...
11 Reactions
33 Replies
3K Views
Shamba linaukubwa wa Hekali 359, Lina hati miliki.kwa mawasiliano 0757 241118
0 Reactions
0 Replies
479 Views
Ni nzuri kwa ajili.ya kuscrub kw atakaehitaji
0 Reactions
0 Replies
252 Views
Unajua kwanini watu wanasema upende unachokifanya ...?? Unajua...?? Au ushawahi kuulizwa au kusikia kauli hiyo....?? Kwasababu upendo au mapenzi pekee ndo unaweza kuvumilia kila kitu, mkeo au mmeo...
1 Reactions
0 Replies
397 Views
Salama wakuu, Naombeni muongozo wa namna ya kufanya biashara ya kuuza magari used, kwa upande wa mambo ya kuzingatia, taratibu za kufata, changamoto nk. Nimeamua kuja na hiyo biashara, baada ya...
4 Reactions
22 Replies
7K Views
MINISTER for Minerals Dr Dotto Biteko has expressed his satisfaction with the speed of the construction of the power substation being built by the Geita Gold Mining Company (GGML). The...
0 Reactions
1 Replies
735 Views
Habari wanajamii? Nimeonelea nikushirikishe kuhusiana na hiki kinachopatikana hapa nilipo. Kwanza njna uenyeji takriban zaidi ya miaka 25 hapa kisiwani, hivyo basi ninao uwezo wa kukusanya samaki...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Watu wengi wanaanzisha biashara lakini wengi pia wanafunga biashara, sababu na shauku ya kuanzisha biashara mara nyingi ndio hiyohiyo ya kufunga biashara ila nina wazo au kanjia kadogo ambacho...
5 Reactions
16 Replies
3K Views
Wakuu mimi ni mjasiliamali ambae walau kwa siku naweza kuingiza faida ya elfu tano au elfu kumi sasa ombi langu kwa haya makampuni yanaoendesha mobile money kama T-pesa, Mpesa, Tigopesa,Eazy pesa...
7 Reactions
21 Replies
5K Views
Jaman wadau wa JF naomba kupata direction ya kupata mfunzo/seminar ya ufugaji wa kuku
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Ziko pisi nyingi Sana kwa ajili ya fensi n.k zenye urefu wa 6ft 7ft na 5ft. Pisi moja Ni shilingi 1000. Kila kipande kimekuwa treated. Mzigo upo pembeni mwa barabara ya lami ,mpakani mwa njombe na...
1 Reactions
3 Replies
813 Views
Habari za muda huu wakuu, Swali kutoka kwa mwanetu yeye ana Account JF "Naomba kuuliza bei ya sasa ya maindi, maharagwe na mchele mpaka ni sirari" Mwisho wa nukuu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi kitu gani ambacho kinawafanya watu wengi kupenda kufanikiwa ...?? Kila mtu anapenda kufanikiwa, sio...?? Huwa tuna sukumwa na nini...?? Najua sababu zipo nyingi ila za msingi ni zipi....??
1 Reactions
4 Replies
677 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…