Wakuu nimepata zali na mtoto wa kituruki ameniachia noti mbili za kituruki Worth £5200

goroko77

JF-Expert Member
Jul 9, 2019
8,843
12,967
Wakuu nimepata zali na mtot wa kituruki ameniachia noti mbili 5200
Sas natafuta sehemu au bureau ambayo naweza kubadilisha fedha hzo nizipate za kitaanzania

Naombeni msaada Ni bureau ipi Ina trade na pesa za kituruki ili nikachukue kitita changu mnk nimeoan Kama nitapat Kam laki Saba HV za kibongo

Plz assist ASAP
Yani umepewa euro 5200 alafu upate laki 7?
 
uturuki wanatumia Euro?
Pesa zenyewe ndio hzoView attachment 2244608View attachment 2244609
IMG_20220530_165818_3.jpg
 
Wakuu nimepata zali na mtot wa kituruki ameniachia noti mbili 5200
Sas natafuta sehemu au bureau ambayo naweza kubadilisha fedha hzo nizipate za kitaanzania

Naombeni msaada Ni bureau ipi Ina trade na pesa za kituruki ili nikachukue kitita changu mnk nimeoan Kama nitapat Kam laki Saba HV za kibongo

Plz assist ASAP
View attachment 2244612View attachment 2244613View attachment 2244614View attachment 2244615
Noti mbili z Euro 5200 ina maana kuna noti yenye thamani ya Euro 2600?
 
Back
Top Bottom