Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Asalaam Alaikum! Binafsi nimeanza kusikiliza Podcasts mwaka 2020 baada ya Mr. Strive Masiyiwa (Bilionea mwenye asili ya Zimbabwe) kuweka mapendekezo ya vitu anavyoshauri wajasiriamali wafanye...
6 Reactions
36 Replies
3K Views
Habari wadau, Nina madini ya rangi ya carrot (carrot stone) *na Sunstone nahitaji kujua soko lake linapatikana wapi na kwa kiwango gani. Nipo matale- Gilai Check inbox E-mail :eclicken@gmail.com...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Samahani kwa wazoefu wa manunuzi ya online,,,,,msaada kwenye kipengere Cha Apt,suite,unit,etc.......najaza nini? Zip/postal code .......najaza nini?
0 Reactions
4 Replies
49K Views
Kwanza freelancing ni kufanya kazi za nje kupitia platform za kazi kama Upwork na fiver Kitu cha kufanya tafuta digital skills (ujuzi) Wowote ule ambao unaweza kujifunza kwa kutumia computer...
5 Reactions
5 Replies
1K Views
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani (UTW) Mhe. Hawa Mchafu ameambatana na Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (Legal and Human Right Center - LHRC) Wakili Anna Henga; Mbunge Jimbo...
0 Reactions
0 Replies
634 Views
Wakuu karibuni tupeane updates za machimboni kuhusu mafanikio, njia na fursa kwa wachimbaji wadogo.
0 Reactions
2 Replies
768 Views
Kwanini uhangaike, We[emoji3578] write tumekuja na suluhu juu ya uandishi wa kibiashara na masomo pia [emoji117]Tittle and Concept note Development [emoji117] Research Proposal Writing [emoji117]...
0 Reactions
2 Replies
404 Views
Nimefanya kazi kwenye Microfinance kwa miaka kadhaa ya nyuma na moja ya kosa kubwa nimekua nikiliona kwa wafanyabiashara wadogo wadogo na wasio wafanya biashara wengi ni uelewa mdogo juu ya...
13 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari za mahangaiko ya kila siku wana JamiiForums na wapenzi wa jukwaa la Biashara na Ujasiriamali. Nimekuja kwenu kuomba ushauri na sitaki kuwachosha, naenda moja kwa moja kwenye mada...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Esther Maleko amesema uchumi wa mwanamke ukiinuliwa, familia itakuwa na amani na ukatili dhidi ya watoto utapungua na hivyo kuwataka wanawake...
0 Reactions
3 Replies
579 Views
Kwanza nianze kwa kueleza wazi kwamba mimi ni mdau katika mawanda haya ya Utengenezaji na usambazaji wa mifumo ya Computer na kwamba ninaamini kwamba kama watanzania tunapaswa kuwekeza sana katika...
8 Reactions
18 Replies
6K Views
Habari wanandugu, mimi ni kijana ninamiliki shamba lenye ekari 25. Nimeplan kulima kilimo cha umwagiliaji na nina tamani kusafirisha mazao yangu nje. Hivyo nilikua naomba kama kuna mwenye ABC za...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu naomba tujuzane hapa.. kama kuna mtu anajua chochote. Iwe ni bidhaa za sekta gani ambazo ukiingiza Tanzania kutoka Europe hazina utitiri wa kodi. Nawasilisha
2 Reactions
32 Replies
5K Views
Habari wana Jamiiforums Kwa mtu ambaye anafanya biashara ya kukopesha pesa kwa riba tunaomba atupe ikoje na hasara zake zikoje na jinsi ya kutatua izo changamoto. Natanguliza shukrani.. Maana...
1 Reactions
165 Replies
34K Views
Kama umeajiliwa au umejiajiri fanya haya Tunza asilimia kadhaa za mshahara wako. Cut off chai ya asubuh kwa mama ntilie. Jion wai nyumbani upike Pesa hapo utaweza tunza then jifunze biashara...
3 Reactions
5 Replies
700 Views
Hello wakuu. Naombeni msaada wenu please, Nahitaji bank ambayo inatoa mkopo wa kununulia gari ya kufanyanyia Kazi, mwenye uzoefu wa hii issue naomba msaada wenu please gari yenyewe ndio hiyo. Ni...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Kuna mada niliongolea kuhusu wachina wanaweza kukutajirisha naona ikapokelewa kufumbwa na watu wasio taka mjue mwanga unachomokea wapi. Watu wengi hususani hapa bongo si rahisi mtu kukupa code...
1 Reactions
2 Replies
730 Views
Wakuu habari, Nilileta uzi hapa kuomba ushauri wa nini nifanye pindi nitakaporeje tz.Nashukuru mlinishauri shauri mbalimbali. Ila katka shauri zote nimeona nichukue hizi mbili kati ya Bajaji au...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Bandugu kama kichwa Cha juu kinavyojieleza nilitaka kufahamu mikopo ya halmashauri kwa ajiri ya vijana kujikwamua katika wimbi la ajira na umasikini. Vipi ni nani aliewahi pata mkopo na taratibu...
0 Reactions
0 Replies
846 Views
Habari za leo wakuu, pole na majukumu Kama heading inavyosomeka hapo juu kama umebarikiwa mtaji au unaweza nikopesha mtaji hata kwa riba au tunaweza elewana namna ya kugawana mapato kwa asilimia...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Back
Top Bottom