Naomba msaada kwenye kipengere Cha Apt, suite, unit, etc, najaza nini?

prof Mose

Member
May 10, 2019
37
28
Samahani kwa wazoefu wa manunuzi ya online,,,,,msaada kwenye kipengere Cha
Apt,suite,unit,etc.......najaza nini?
Zip/postal code .......najaza nini?
Screenshot_20190626-065640.jpeg
 
Zip/postal cheki tcra kwa web yao ..apt,suite kama unaishi kwenye apartments hizi nafikiri kwa ulaya aya maisha ni kawaida na kila kitu kiko in system..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom