Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Huduma za kuwasilisha Ritani na ulipaji kodi KWA HUDUMA YA HESABU ZA KODI (FINANCIAL REPORT) RITANI ZA TRA (TRA RETURN) RITANI ZA VAT (VAT RETURN) SDL, PAYE, WCF KWA HUDUMA YA MAKADIRIO YA KODI...
1 Reactions
0 Replies
502 Views
Habari za muda huu, naomba msaada kwa anayejua namna ya kumpata mtu alienitapeli milioni karibia 15, mtandaoni, hyu bwana anasema anajishughulisha na uuzaji wa ream, tukakubaliana kua angetuma...
13 Reactions
166 Replies
11K Views
Habarini wakuu. Eti zile pesa ambazo mabenki yanadai kama riba zinatoka wapi? Mfano, benki kuu ndiyo kwa mara ya kwanza imeanza. Imechapa pesa, tuseme 100bilioni. imekopesha pesa hizo kwa...
2 Reactions
10 Replies
968 Views
. MSABATAVANGU AITAKA SERIKALI KUWEKA IMANI KWA WAWEKEZAJI WA NDANI "Mmeanza kutubagua watanzania kwa kuwapa watu wenye uwezo wa fedha tusio na uwezo tusiwekeze kwakuwa miradi yetu ni...
1 Reactions
4 Replies
467 Views
Habari wakuu, ninaomba mwenye kujua kwa kina taarifa za hiyo center inayoitwa Hungumalwa. Iko wilaya ya Kwimba mkoa wa Mwanza. Je kuna fursa zipi hapo za kibiashara? Hasa kwenye biashara, kilimo...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Habarini ndugu zangu, Nianaomba mrejee heading hapo juu. Natamani sana kufanya biashara ya asali. Ninaomba wenye uzoefu wanijuze wapi nitapata asali halisi na mambo yapi ya kuzingatia kwenye...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habarini,, wakubwa heshima yenu,,, mimi ni muhitimu wa mwaka huu ni binti nna 23 yrs,sina mpango wala fikra kuusu kuajiriwa, naamini zaidi katika kujiajiri(biashara), Nimefanikiwa kuwezeshwa mtaji...
1 Reactions
14 Replies
25K Views
Msaada kwa wale wazoefu wa biashara ya MGAHAWA naombeni uzoefu kwenye changamoto na faida ya hii biashara. Tanguliza shukrani [emoji120][emoji120]
1 Reactions
5 Replies
1K Views
MHE. ELIBARIKI KINGU - HAKUNA UUZWAJI WA ARDHI MKATABA WA DP WORLD NA TANZANIA "Tukiwa kama wabunge tuna nafasi ya kusema vitu vinavyotoa muelekeo wa nchi. Mafanikio tunayoyazungumza ya Serikali...
0 Reactions
1 Replies
792 Views
MHE. GEOFFREY MWAMBE ASEMA FURSA ZA AJIRA KWA VIJANA ZINASAIDIA KUONGEZA KODI KWA SERIKALI "Nakishukuru Chama Cha Mapinduzi kinachoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt...
0 Reactions
0 Replies
456 Views
MHE. KWAGILWA NHAMANILO ASEMA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN APEWE MAUA YAKE "Niendelee kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na Amir Jeshi Mkuu, ambaye pia...
1 Reactions
2 Replies
767 Views
Wassalaam! Moja kwa moja niende kwenye point ndugu zanguni, mashine ya juice yà miwa inahitajika Location: Dar es salaam Condition: used Offer: 500k Karibuni tufanye kazi
2 Reactions
2 Replies
946 Views
Habari wadau, Natafuta machine za kuchakata plastics kuwa flakes naweza kuzipata wapi kwa Kariakoo? Pet bottle flakes ceushing machine. Pet bottle label remover. Pet bottle neck ring remover...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
MHE. EDWIN SWALLE - WIZARA YA KILIMO IANZISHE DAWATI LA KUSIKILIZA KERO ZA WAFANYABIASHARA MAGETINI Mbunge wa Jimbo la Lupembe Mkoa wa Njombe, Mhe. Edwin Enosy Swalle ameshauri Wizara ya Kilimo...
0 Reactions
0 Replies
762 Views
Serikali huku mkitafuta pesa za kigeni kwa nguvu kwa uwekezaji mpaka kufikia bandari. Ila jambo linalochekesha ni yule mfunga kitambaa cha tanzania kama mwenye dhamana ya uchumi kutupeleka chaka...
1 Reactions
1 Replies
555 Views
Habari za Mwaka mpya wana jamii. Kuna haya mashuka na blanket za kutoka Uganda. Nataka na mimi nifanye hii biashara. Ila nitafurahi kama nitapata muongozo na namna ya kuyapata toka Uganda. Kama...
3 Reactions
14 Replies
5K Views
Habari wakuu, Kuna rafiki yangu anataka kununua tani 100 za maharage toka Uganda. Naomba kujua kama kuna tax duties yeyote ambayo atalipa. Pia, kama ipo, naomba kujua ni asilimia ngapi ya...
3 Reactions
1 Replies
707 Views
Karikaoo ni soko linalokutanisha watu wengi kutoka ndani na nje ya nchi na ndo sababu kuu likapewa hadhi yakuwa soko la kimataifa lakini ukweli ni kwamba mazingira na namna biashara...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari, Biashara ya viatu na pochi za kisistaduu zinalipa kwa Mbagala Rangitatu? Natumai kuanzisha biashara, nina 2.5M ila biashara ninayoipenda ni viatu vya kike, yaani vinavyohusu wanawake...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari wana jamii Ipi ni biashara rahisi kuendesha na inalipa kwa haraka kati ya hizo mbili tajwa hapo juu Pia zipi ni mbinu muhimu katika kufaulu biashara hizo Pia vip kuhusu Location zake sahihi
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…