Wanajamvi kama kichwa kinavyosomeka, natamani kujua biashara yenye mzunguko na faida nzuri kati ya agrovet na hardware kwa maeneo ya Mbeya.
Kwa faida yangu na ya wengine naomba wazoefu na...
Kuna haja kubwa kwa TRA kufanya mapitio ya mara kwa mara ya viwango vya bei vinavyotumika kwenye mfumo wao wa ukokotoaji wa kodi za magari. Kwa sasa, inaonekana kuwa baadhi ya bei zilizopo kwenye...
Baadhi ya kero hizo ni kama ifuatavyo:
1. Wafanyakazi kubebwa na roli kwenda na kutoka kazini.
2. Mfanyakazi akilalamika juu ya kutotemdewa haki anatishiwa kufukuzwa kazi.
3. Mazingira ya eneo la...
Je ni Mkoa upi unafaa Kwa kuishi nanutafutaji kati ya haya Majiji 2?
Mbeya-Ikiwakikisha Nyanda za Juu Kusini.
Tanga-Ikiwakilisha Kaskazini Mashariki ya Tanzania.cc Accumen Mo...
KOROGWE: WAKAZI WAKUBALIANA UAINISHAJI WA ENEO LA KIWANDA CHA SUKARI
Korogwe, Tanga | Agosti 10, 2026
Wakazi wa vijiji vya Kata ya Mkalamo katika Wilaya ya Korogwe wamekubaliana na Mkuu wa Mkoa...
AM GRAIN STORE - CHANIKA
Tunauza NAFAKA BORA jumla na reja reja kwa bei nafuu!
π Tupo: Chanika, Dar es Salaam
π¦ Tuna: Mahindi, Maharage, Mchele, Mafuta, Unga, nk.
β Bei ya jumla kwa...
Habari za mida wakuu..
Mimi ni mfanyakazi wa kampuni binafsi..
Napata mshahara wa wastani tu ila nilitamani niwe na biashara yangu ya pembeni ambayo itanisaidia kuongeza kipato.
Ila changamoto...
Eneo linauzwa Square meters 371
Location Dar es salaam - makumbusho
Bei Billion 1.5 Maongezi yapo ofisini
Hiyo nyumba ina family house 2 ziko hivi unaingia sitting room, dining, kitchen, choo na...
Habari Jf.
Katika mchakato wa kuchimba kisima sustainable kuna hatua ya kwanza ya vipimo, underground water survey, ambapo kifaa maalum kinachotumika hutoa report, katika report hiyo utakutana na...
Leo watu wengi wanaanza biashara ya nguo kupitia WhatsApp Status, Instagram, Facebook au TikTok. Unaweza kuanza ukiwa na nguo chache, ukapata wateja wa kwanza na kuanza kupata faida.
Lakini swali...
ππ ππ¨π π¨ππ’ πͺπ πππ π¨π‘ππͺπππ ππ¨ππ π ππ§πππ π¬π πͺππππ‘π¬πππππ¦πππ₯π πͺπππ’ππ’ π§ππ‘πππ‘πππ₯π
Ripoti mpya ya TICGL inaonesha kuwa ongezeko la mfumuko wa bei nchini linaweza kuendelea kuathiri kwa kiwango kikubwa...
Na deal na nguo za watoto mitumba za aina mbali mbali, maranyingi root yangu ni morogoro kikundi na sabasaba, kibaigwa na gairo, bagamoyo, kiwangwa au tabata baracuda....
Kama mnavyojua minadani...
Habari zenu wakuu? Natumaini wote mpo salama na mnaendelea vizuri.
Nina mtaji ambao ninatarajia kuwekeza katika kufungua barber shop eneo la Msamvu, karibu na Stendi Kuu ya Morogoro. Mpango wangu...
Wakuu Nina reseni ya uzabuni na Nina miaka 4 katika kazi hii hivyo Nina uzoefu nzuri. Natafuta fursa za zabuni (tenders) na usambazaji wa vifaa vya ICT
Kampuni yangu ina leseni halali ya...
Mambo ya Msingi ya Kuzingatia Kabla ya Kuanzisha Biashara ya Petrol Station (Filling Station)
Biashara ya Petrol & Filling Station ni miongoni mwa biashara zenye mahitaji ya kila siku kutokana na...