Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Hii ndio taarifa iliyochapishwa kwenye tovuti ya NMB PLC, Binafsi imenivutia na haya moja kwa Moja ni matokeo ya Sera Bora na rafiki za Mama yetu Dkt Samia Suluhu Hassan, tunakwenda nae Mpaka...
14 Reactions
108 Replies
5K Views
Nimeandika mada ndefu kiasi, so tenga muda kiasi , wale mtakaopita na kusema nimeandika pumba mna nafasi pia ya kucomment karibuni. wakuu habari zenu, hongereni kwa wale mnaonufaika na hii kitu...
17 Reactions
181 Replies
24K Views
Wanangu wa Morogoro hivi kg 100 ya mchele imefika bei gani?, nataka nisafirishe mchele kutoka Moro to Dom
0 Reactions
3 Replies
1K Views
katika makombora 10 ni moja linaweza kupenya mengine yanapanguliwa, JE, Israel wakirusha hata kombora moja, Hezbollah wanaweza kulizia ? itakuwaje Israel ikirusha mamia ya makombora kwa mpigo...
0 Reactions
5 Replies
658 Views
Nataka kufanya biashara Comoro kwa mtaji.mdogo, nifanyeje?
3 Reactions
67 Replies
9K Views
Mbunge wa Makete Mh:Festo Sanga amepaza leo tar 14:02:2024 akichangia hoja ya Kamati ya Bajeti amepaza kilio chake kwa serikali namna mabenki nchini yanavyoumiza watumishi kwenye riba za mikopo...
1 Reactions
3 Replies
689 Views
Habari zenu wana JF, Naamini wote ni wazima wa afya. Mi ni kijana mpambanaji na kwenye harakati za utafutaji nikajikuta niko nje nchi na ni mda sasa tangu nilipotoka tz, Mungu amesaidia...
5 Reactions
61 Replies
6K Views
Habari za muda huu wadau. Mie nimuajiriwa wa sector X. Kipato napata cha kawaida. Nina mtaji hapa wa milioni mbili. Nipo mkoa wa lindi nianze Biashara gani iniingizie Atleast pesa ya mboga.?
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari, Naomba msaada wa kujua namna nzuri ya kufanya hii biashara ya dhahabu (Based in chunya) kwa mtaji mdogo wa 25M
6 Reactions
69 Replies
8K Views
Tufaidishane pengine tukaokoa watu wengi kutotapeliwa au kuingiza faida. Kuna namba ilinitumia message telegram wakidai wao ni kampuni ya marketing za online ambapo wanafanya media buy...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari Wafanyabiashara , Kwa sasa soko la zao la Ufuta ni kubwa sana, Msimu wa mwaka jana ufuta ulinunuliwa kwa bei ya Tsh 4000 kwa kilogram moja. Msimu huu kuna uwezekano mkubwa wa bei ya ufuta...
6 Reactions
17 Replies
5K Views
Nawasalimu Kwa salamu zote halali, niende direct! Hiviii, unajisikiaje unatafuta pesa Kwa shida, unahifadhi taasisi za kifedha au baada ya kazi ngumu posho inapitia moja ya taasisi ya kifedha...
1 Reactions
9 Replies
548 Views
Wakuu habar zenu. Naomba ushauri wenu, kwa tsh 50,000 naweza fanya biashara gani zanzibari hasa maeneo ya mjini magharibi? Asanteni.
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Mimi ni trader wa forex katika soko la gold ambayo pear XAUUSD niliyoingia nayo ilinipa kama usd 7700 kwa lot size 20 kipindi cha nyuma mwaka 2021. Kipindi cha nyuma kutrans pesa kufika kwenye...
2 Reactions
20 Replies
5K Views
Habari mimi ni mfanyabiashara mdogo wa nguo za mtumba hapa Dar es Salaam nilikuwa nataka kuongeza wigo wa wateja kwenda minadani kuuza biashara. Nilikuwa naomba kujua ratiba mbalimbali za minada...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Hii ni biashara ya bwana mdogo fulani, mji kasoro bahari. Familia yao ilikuwa ikinipokea wakati naenda shule hapo mji kasoro bahari. Mwaka juzi aliomba mtaji mdogo afungue biashara ya salon. Naona...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Habarini wananzengo Nahitaji kufungua biashara ya kisasa kidogo ya kibanda cha chips Je ni mambo gani ya kuyazingatia kiserikali(eg TRA, jiji) na kibiashara? Asanteni.
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Hivi karibuni kumekuwa wimbi la ongezeko la kampuni zinazokopesha hela mtandaoni.Na wengi wamekuwa wakikopa pasipo kujua uhalali wa hizi kampuni,na wengine kuzilalamikia kuwatoka riba kubwa sana...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Nashida ya milion 5 wapendwa naeka gari dhamana la aurius Toyota Nawasirisha
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Aisee leo nimeshangaa naambiwa kuna jamaa anatengeneza MILLION KWA SIKU MOJA wakati hiyo ni budget yangu miezi 2. Malengo yangu kwa sasa ni kuweza kutengeneza laki 2 tu kwa siku!Mlioweza...
11 Reactions
107 Replies
25K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…