Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Naangaza angaza magari ya Be-Forward nakuta wanantangazia nyumba za kupanga na kununua... Hili ni kampuni la Kijapani, hela zao zinaenda Japan, hata mtandao wao ni...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Vijana wengi wanatamani kufanikiwa katika Biashara hata kwenye vitu vingine ila wanatafuta njia za chap watoboe, ila nikuambie uhalisia maisha ni marathon usiwe na papara ya mafanikio ya harakaa...
5 Reactions
19 Replies
1K Views
Hello, Nmepata changamoto kidogo katika transferring ya money and the only option I'm left with ni kutumia crypto system, bad though am not good at using it Any recommendations, procedures and...
2 Reactions
21 Replies
958 Views
Habari WanaJF, Natafuta kazi ya udereva boda boda ,uvuvi na yeyote ile kikubwa inipatie kipato cha kujikimu, umri wangu ni 24 naishi hapa Dar pia Nina ELIMU ya chuo kikuu upande wa education in...
2 Reactions
7 Replies
575 Views
HABARINI ZA LEO WADAU WANGU. Labda nirejeshe salam za upendo kwa mlioniombea wakati sina kazi na hatimaye nimefanikiwa kupata kazi kwenye taasisi kubwa sana katika Taifa hii.Hakika ni taasisi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mambo vipi ndugu zangu, Nimepewa jukumu la kusimamia lodge yenye PUB pembeni, hii biashara bado mpya ndio kwanza inafunguliwa mwezi ujao, BOSS ananitegemea kwenye kila kitu kuhusi hii biashara...
5 Reactions
20 Replies
3K Views
Msaada kwa wenye uzoefu wa kuagiza mizigo China kwa kutumia ndege...ni agent gani mzuri ambaye anapokea mizigo kutoka kwa suplier na kuufukisha Tanzania kwa uaminifu na chargers zake per kg zikoje...
3 Reactions
15 Replies
3K Views
Habari Wana jukwaa, poleni na majukumu ya hapa na pale namuomba mungu awatilie wepes kwa Kila jema mfanyalo katika harakati zenu Kama kilivokichwa cha habari, Mimi ni mjasiriamali chipukizi Nina...
1 Reactions
21 Replies
1K Views
Kwema, naombeni mwenye Air BNB katika locations zilizo karibu na city centre prefferbly Magomeni na kuendelea. Anicheki DM!
5 Reactions
3 Replies
562 Views
Habari wakuu! Leo nimepita maeneo ya Kinondoni kuna kitu kimenishangaza sana,miezi kama sita iliyopita nilikunywa bar moja inaitwa Jacaranda bar pembeni yake ipo bar nyingine inaitwa uhuru peak...
7 Reactions
96 Replies
29K Views
Habari, Tuna kampuni ambayo inadeal na utoaji wa services. Changamoto yetu kubwa ni mtaji mdogo. Mwaka huu kuna investor (Ndugu wa karibu), amesema atatusaidia kutatua changamoto hiyo kwa...
6 Reactions
14 Replies
823 Views
Habari wadau! Kwa mnaoguswa na tozo kama mimi poleni sana. Naomba kuutaarifu umma kwamba niko njiani kuingia kwenye biashara ya nguo za mtumba. Nimedadisi kiasi fulani nikaona nguo za mtumba ni...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Kama Unathamini Laptop/Desktop yako Usikubali Hii Ikupite. Habar Ndugu, hata kama umekuwa Ukitafuta Vifaa vya Laptop/Desktop kwa Kipindi cha nyuma bila Mafanikio leo kuna Suluhisho la Changamoto...
0 Reactions
4 Replies
679 Views
Heshima kwenu wakuu hope mapambano yanaendelea vyema leo ningependa ku share nanyi machache haya kuhusu biashara hapa nalenda zile biashara zinazouza bidhaa ambazo ni scalable hasa upande wa...
1 Reactions
4 Replies
710 Views
Mikoani Safari ni 1,500 huku Dar Safari ni 2,500 mpaka 3,000, WHY? Bia zote za TBL ni bei juu Dar kuliko mikoani ambapo nilitegemea kinyume chake kwasababu Dar hakuna gharama za usafirishaji...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Mimi ni mfanya biashara mgeni kwenye nafaka sasa na leo ni siku ya pili kwenye hii biashara yangu. Kasumba niliyokutana nayo wadau ni kwamba kuna mteja alikuja kununua mchele kilo 170 na unga...
14 Reactions
57 Replies
4K Views
Habari wapambanaji na wote tuliokula kiapo cha kumtoa adui wetu nduli umasikini, Mimi ni mfanya biashara mdogo na mlanguzi wa mpunga na mchele hapa moshi. Changamoto yangu kwa sasa ni mzigo...
15 Reactions
185 Replies
19K Views
Wasiliana nami kwa namba 0756294771. Nahitaji, nipo Moshi Mjini. Karibuni.
2 Reactions
3 Replies
751 Views
Mchizi wangu Mmoja alikua kachoka sana, nimekuja kumcheki yuko poa sana ana mzigo kweli kweli nikambana akaniambia bro..nauza sex Toys kumbe ni bonge la deal akaniambia wateja wengi ni wake za...
53 Reactions
197 Replies
28K Views
Hawa wakopeshaji hutakuja kukutana nao ana kwa ana. Nilikopa kwa shida na nikajutia kukopeshwa. Swali langu je kwa kuwa wanataarifa zangu kama nakala katika picha yangu na Nida yangu je hawawezi...
9 Reactions
19 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…