Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Jamani msaada, nahitaji kujua kama jiwe hili kwenye (picha hapo chini) kama lina dhahabu. Naomba kuwasilisha.
4 Reactions
34 Replies
9K Views
Wakuu kwema Kijana niko na 350k , kuna jamaa yangu kaniambia anauza saluni yake kwa hio bei. Vinyozi wanampa 4k per day, na kodi wanalipa wao, nataka kuinunua . Naombeni ushauri pia kama mna idea...
2 Reactions
8 Replies
799 Views
Hii ni side hustle, sio shughuli yangu rasmi Sipo Dar lakini nipo kwenye jiji mojawapo kati ya matano, kama mnavyojua kwenye majjiji kuna utitiri wa electronics na ushindani wa hali ya juu...
8 Reactions
14 Replies
2K Views
Bodaboda kahojiwa East Africa Radio kasema anaingiza laki 9 kwa mwezi. Hivyo anashauri msichague kazi. Ahaaa haaaa
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Kwasasa nipo Morogoro. Nina milioni moja napanga nikizalishe niingize chochote kitu, maisha yasonge. Nawaza kwenda Dar nikauze mkaa.
3 Reactions
27 Replies
1K Views
Been thinking on it over and over again. How good is the Tanzanian ground for Cell phone business? African economy is booming, would it be a good time to setup an international store there ?
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Mshindi wa wiki ya tano wa kampeni ya Vodacom Tanzania Plc ‘Ni Balaa, Kila Mtu ni Mshindi' Salehe Samweli (wa pili kulia), akipokea mfano wa hundi ya shilingi laki tano kutoka kwa Mkuu wa Kanda ya...
0 Reactions
1 Replies
372 Views
Salaamu wanajamvi, Imekuwa ada kuanzisha hata kusajili vikundi vya kusaidiana mambo ya kijamii kama vile msiba na sherehe. Sio jambo baya kwa vile linakuza ushirikiano na ustawi wa jamii. Ila...
3 Reactions
2 Replies
395 Views
Naomba kuuliza je soko la ubuyu likoje na wapi naweza kupata wateja wa uhakika wa mafuta ya ubuyu pamoja na unga wake.
2 Reactions
4 Replies
666 Views
Jamani haya matangazo ya Laptop na Tablet ni mimi tu nayaona au Bongo biashara inayalipa wiki mbili hizi ni Laptop za Hp[emoji23][emoji23][emoji23]
2 Reactions
2 Replies
829 Views
Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde amesema Tanzania inakaribisha wawekezaji wote wa madini mkakati na kuweka msisitizo kwamba uongezaji thamani wa madin hayo mkakati lazima ufanyike Tanzania...
1 Reactions
1 Replies
235 Views
Habari ya majukum wakuu?. Naomba kujua kwa yeyote anayefaham wapi nàweza kupata kifaa hiki? Kinauzwaje? Mi napatikana Iringa
1 Reactions
1 Replies
439 Views
habari wakuu! katika mitego yangu ya hapa na pale nmenasa mkwanja kama mil 15 na laki saba lakini sina uzoefu na biashara! naombeni mawazo nifanye biashara gani ambayo inaweza nitoa nipo...
4 Reactions
129 Replies
29K Views
Habari zenu wajumbe wenzangu wa jukwaa hili adhimu! Nimekutana na changamoto hii kwa mara tatu sasa. Unaingia kwenye mtandao wa kukata tiketi wa SGR kutoka Dar kwenda Dodoma unakuta treni zimejaa...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Naomba msaada mwenye kujua wapi naweza kununua betri ya mashine kama hii ya Selcom
0 Reactions
2 Replies
589 Views
Wazoefu wa hii biashara naomba ufafanuzi; Niandae bajeti ya Tsh ngapi kwa ajili ya hii biashara mchanganuo wa bei ya machine na Vitu vingine vinavyohitajika. Location nzuri iweje Mambo gani ya...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wakuu. Ni wapi zinapatikana Computer used nzuri kwa bei ya jumla? Nitapata kwa Tshs. Ngapi kwa pc 1 kutokana na specifications za computer husika? Yaani bei ya kila pc na specifications...
3 Reactions
68 Replies
19K Views
BIASHARA YA MTUMBA Mtumba ni biashara ambayo wengi wanaipuuzia sana lakini ni kati ya n biashara zenye faida sana hasa ukiwa makini Mfano unaweza ukanunua nguo kwa kupoint 500 ukifua ukaja kuiuza...
15 Reactions
24 Replies
15K Views
TRA yashiriki MOI Marathon 2024 kwa lengo la kuchangia matibabu ya magonjwa sugu pamoja na kutoa msukumo kwa watumishi wa Hospitali hiyo kufanya mazoezi ili kujiepusha na magomjwa yasioambukiza ...
0 Reactions
0 Replies
220 Views
Katika mambo yanayokera,kutia hasira na kutia kinyaa ndo haya Tanzania asilimia kubwa ya bidhaa tuna-import nje (kununua nje ya nchi) sasa hili swala la dola kupanda dhidi ya shilingi kunazidisha...
8 Reactions
129 Replies
23K Views
Back
Top Bottom