Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari wanaJF. Kwa wenye uhitaji wa mafundi friji na friza,halikadhalika kufunga AC na kutengeneza AC pindi ziletapo changamoto, karibuni Seneta Electrical & Cooling system workshop iliyopo...
1 Reactions
4 Replies
483 Views
Hi great thinkers. Leo Nina furaha isiyo na kifani tumekamilisha marejesho Kwa Mhindi. Mwaka 2017 January Mimi kaka na Dada yetu tumekamilisha marejesho leo asubuhi Kwa muhindi. Hatimae gari...
8 Reactions
56 Replies
11K Views
Kontena 20ft, kulitoa south mpaka bongo bei gani kwa roli wakuu. Likiwa na mzigo full. Natangulizw shukrani.
1 Reactions
2 Replies
455 Views
Naombeni ushauri nzuri jamn nina laki 5 nifanye biashara gani?
5 Reactions
26 Replies
2K Views
wengi wao huishi ifuatavyo: Ofisini jumatatu hadi jumamosi kuondoka majumbani alfajiri kurudi usiku, kukosa muda wa kuspend na familia likizo pekee ni Christmas, Pasaka au Idi wakiumwa biashara...
4 Reactions
15 Replies
782 Views
Habari za muda huu wajasiriamali wenzangu. kwa mwenye utaalamu kidogo na hii kitu naomba anijulishe tafadhali
0 Reactions
64 Replies
18K Views
Moja kwa moja kwenye mada, Mwezi June nilipokea sms kuwa kuna jamaayangu kaniweka kama mtu wake wa karibu na amekopa pesa ameshindwa kurejesha. Nilishtuka sana, nikapiga kujua ni milioni ngapi...
11 Reactions
16 Replies
15K Views
Salaam, Wakuu, naomba muongozo wa uzoefu kwenu. Soko lipi nitapata bidhaa kama Mihogi, Viazi(vya aina zote ), Magimbi......etc. Vipimo vikoje kwa kila zao. NB; Nahitaji kwa ajiri ya kuuza...
0 Reactions
0 Replies
257 Views
Habari! Nina mahindi gunia 25 za mahindi, zipo mbinga, Ruvuma. Kwa sasa bei sokoni ipoje? Au naweza kupata makampuni ili kuwauzia mzigo wote kwa pamoja? Au naomba ushauri, niuze kwa namna gani?
0 Reactions
1 Replies
547 Views
Habari za hapa wana jamii, Mimi ni Mtanzania ila kwa sasa niko 🇰🇪 Kenya ila mmmh life ya Kenya kiukweli ni ngumu mno. Sasa nilikuwa naomba wazoefu wa haka kanchi kanaitwa Botswana 🇧🇼...
9 Reactions
40 Replies
3K Views
Hello. Nina million 2. Nina mke na mtoto. Nahitaji kufanya serious business mambo yasonge. Kwa sasa mimi na familia yangu tumerudi nyumbani kwetu. So nilikuwa naomba Sana ideas business ideas...
11 Reactions
111 Replies
17K Views
Naombeni USHAURI WA kibiashara wakuu; nina mtaji WA Tsh 50,000/=(Elf hamsin). Je, Kwa mji WA Kilosa, nianzishe biashara Gani? Ahsanten sana!
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Based on concept: A proposal regardless its agenda/theme, is a formal written document used to make right decisions (to think and decide). Katika struggling zetu za maisha sometimes we need to...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
TANZANIA KINARA WA UWEKEZAJI MKUBWA WA MADINI KWA KAMPUNI KUTOKA AUSTRALIA -Asilimia 21 ya uwekezaji wa Kampuni kubwa za Madini za Australia Barani Afrika ni nchini Tanzania -Kampuni zaingia...
1 Reactions
0 Replies
345 Views
Habari wana jukwaa. Kwa yeyote anaeuza akaunti yake ya playstore anaweza niona. Ni muhimu 0755422199
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Kwanini Riba ya mikopo ya mabenki ni kubwa kuliko anachopata mtumishi mfano unaeza kopa mil 6, take home mil 5.31 alafu marejesho inakua mil 9 hii imekaaje wakuu? Tuwasaidie Gen Zee
5 Reactions
31 Replies
2K Views
ZIARA YA MAFUNZO BUNGENI YA WAFANYABIASHARA WA NGARA YAWA NEEMA KWA BIASHARA ZA KANDA YA ZIWA. 04/09/2024, BUNGENI DODOMA Baadhi ya wafanyabiashara wapatao 60 kutoka Jimbo la Ngara...
0 Reactions
0 Replies
495 Views
Naombeni mawazo yenu wadau nawezaje kutengeneza pesa kupitia kipaji changu.. nimeambatanisha sample za michoro
2 Reactions
12 Replies
697 Views
Poleni na hongeren kwa ubize wa kutwa nzima ya Leo, Ni matumaini yangu tunaebdelea vizuri tukiwa na afya njema, kwa wenye changamoto polen na mungu atawasaidia. Ndugu zangu nimepata aidia moja...
3 Reactions
24 Replies
4K Views
Back
Top Bottom