Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wakuu habari zenu? Naomba kujulishwa Chimbo la Simu Used na Mpya na Accessories nzuri kwa bei ya jumla kariakoo nimechoka kulanguliwa na kuuziwa mali zisizo na uhakika. Natanguliza shukrani.
2 Reactions
4 Replies
5K Views
Hello Wanajamvi…… Nimekuwa na jitihada za kufungua biashara ya bucha la kisasa la samaki ambalo ndani yake kutakuwa na duka dogo la Cash-point (mobile money & internet banking), nje mitungi ya...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Habarini niende kwenye mada moja kwa moja uzi huu ni kwa ajili ya wafanyabiashara walionza kwa mitaji midogo na mpaka sasa wamefanikiwa naomba mtupe ilikuaje abc za aina za biashara mlizoanza nazo...
5 Reactions
42 Replies
2K Views
Nimepatwa Shida, Bei imenishuka. Natengeneza website kwa Tsh 150,000 tu. Itatumia CMS ya WordPress. Malipo ni baada ya kazi. Work Delivery ni ndani ya masaa 24. Serious customers tu Jamani 🙏...
0 Reactions
5 Replies
527 Views
Kufanya biashara kunahitaji muongozo, lakini pia taarifa sahihi kutoka kwa watu sahihi inaweza kufanya tofauti kubwa. Tunatoa ushauri kwa wafanyabiashara wanaotaka mitaji mikubwa ya biashara na...
2 Reactions
32 Replies
2K Views
Juzi katika kikao kimoja hoteli kubwa nchini nikakutana na mfanyabiashara mkubwa, nikamwambia mwanangu mbona hauongezi wigo wa biashara yako, akanijibu Tanzania haina biashara halali na...
7 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakuu kwanza habari ya asubuhi. Nije moja kwa moja kwenye mada nilikuwa na pesa kidogo lakini kwa sababu ya kuwa busy na shughuli nyingine nikawa naonelea kwa nini nisiwakopeshe wanawake...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Forbes Money Personal Finance Is College Still Worth It? Here’s 5 Alternatives To Financial Success Sep 5, 2024,02:00 am EDT Updated Sep 5, 2024, 02:39 am EDT A college degree may not be the only...
0 Reactions
0 Replies
538 Views
Nina refinery ndogo ambayo ina uwezo kufanya refining mafuta ya kupikia kama alizeti, soya, mawese nk na kuyaboresha zaidi katika viwango vilivyoidhinishwa na TBS. Nipo Mbeya na mwekezaji...
3 Reactions
6 Replies
605 Views
Kama kichwa Cha habari hapo juu. Ni kwamba niko katika eneo/wilaya ambayo kwa asilimia zaidi ya 85, watengenezaji na wasambazaji wa hiyo bidhaa ni kutoka katika viwanda vya mjini. Fursa naiona...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari ya jioni wakuu. Natarajia kufungua guest house soon hivyo kuna vitu vingi kuhusu hii biashara nahitaji kuvijua.. Kwenye lodge nyingi ukiingia huwa unakuta wamebandika kikaratasi chenye...
6 Reactions
139 Replies
6K Views
Habari ndugu zangu, Naomba kuuliza, silver mercury (Hg) inapatikana wapi? Na sheria zake zikoje Kama unataka kuitumia
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Wasakatonge wenzangu kama mjuavyo Mimi Huwa napenda kufanya vitu ambavyo vinaweza kuacha alama kwenye jamii, japo sijabahatika kuwa miongoni mwa watoa maamuzi muhimu wa Taifa, ila amini nakwambia...
13 Reactions
74 Replies
3K Views
Wadau naomba mwenye kufahamu wanapouza sukari Kali ya unga ya kutengenezea juice anifahamishe kwani Ninashida nayo. Sukari hiyo hutumika kutengenezea soda coca cola, pia naomba msaaada kwa...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Habari za huku wakuu kuna mdau huku aliwahi agiza bidhaa na mzalendo cargo nataka kuagiza godoro nauliza ili nijue ubora maana bei zao ni za kizalendo kweli kweli
2 Reactions
1 Replies
348 Views
Nimepata utata baada ya kugundua suruali za jeansi zinauzwa MAKAMBAKO elfu 16 Kwa bei ya jumla. Lakini Dar zinauzwa elfu20kwa (bei ya jumla ) na kuendelea. Ivi hapo Siri ni nini naombeni tujadili...
3 Reactions
27 Replies
8K Views
MRADI WA KABANGA NICKEL WAVUTIA UWEKEZAJI MKUBWA KUTOKA KAMPUNI ZA AUSTRALIA -Jumla ya Dola Bilioni 2.2 kutumika kuendeleza Mradi -Waziri Mavunde atembelea kiwanda cha kusafisha Madini kama...
1 Reactions
1 Replies
484 Views
Nina Tsh 150,000/= tu je, nawezaje kuitumia kama Mtaji Mdogo ili nipate Faida ya haraka hata kama ni kidogo, ila ni ya kila Siku? Michango yenu nitaishukuru sana tu.
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Maisha ya utumishi ni mafupi hivyo ni heri kujiandaa na maisha ya kustaafu mapema. Kipato vya wafanyakazi wengi ni kidogo sana hivyo kuna ulazima kuwa na kipato cha ziada. Changamoto ya...
36 Reactions
236 Replies
13K Views
Habari njema Matajiri Wawekezaji, Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya programu ya NGUVU YA BUKU, ambapo tunajifunza na kufanya uwekezaji kwa hatua ndogo ndogo na kujenga utajiri kwa...
0 Reactions
0 Replies
477 Views
Back
Top Bottom