Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

IPHONE USED DUBAI PRICE LIST 11 Plain 64GB — 430,000/= 11 Plain 128GB — 480,000/= 11 Pro 64GB — 570,000/= 11 Pro 256GB — 600,000/= 11 Pro Max 64GB — 660,000/= 11 Pro Max 256GB — 720,000/= 12 Plain...
0 Reactions
2 Replies
104 Views
Kuna miti pines eneo la Wino madaba ekari 38.. bei 3.2m kwa ekari Miti ipo eneo zuri gari linafika hadi shambani,, nicheki wasap 0657765168
0 Reactions
1 Replies
158 Views
NYUMBA IPO NARUNG'OMBE NA LUMUMBA PRICE 4 BILLIONS na Milioni 500 Building Ina Floor 5 Ground Kuna Frame Tatu Ikiwemo Restaurant First Floor ni Godown Second Floor ni Apartment ya Pande...
0 Reactions
0 Replies
85 Views
Habari zenu humu ndani? si muandishi mzuri sana wa nyuzi humu jf ila leo nimejisikia kushare kitu kidogo na nyinyi juu ya biashara, nikiamini kwamba naweza kubadili fikira za baadhi ya vijana na...
70 Reactions
114 Replies
24K Views
  • Redirect
guest-1789818704
Wana-JF, boma linauzwa moja kwa moja kutoka kwa mmiliki. Limefikia kozi 11 na lina potential nzuri kwa mwekezaji anayehitaji kuendeleza ujenzi kulingana na matumizi yake. 🏠 Vyumba 5 – 4 Master 🛋️...
3 Reactions
– Replies
– Views
WAKUU!,mm n mwanafunzi ninayesoma udaktari wa tiba(MD),nipo mwaka wa kwanza sasa nafikiria ninaweza kufanya biashara gani kwa mtaji wa Tshs.500,000 nikiwa chuoni ili niweze kujikimu kimaisha huku...
5 Reactions
44 Replies
553 Views
Kama unapenda biashara ya vipodozi na una mtaji mdogo ila una uaminifu, tuwasiliane kwa 0713 039 875
0 Reactions
4 Replies
141 Views
Wachina wameua kbs biashara ya mitumba Tanzania Wanafunga mitumba michafu sana na serikali haina hata haja ya kufuatilia ni bidhaa gan zinazoingia nchini kwetu leo mitumba imekuwa kazi ya kuua...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
MABALO YA MTUMBA YA CAM STORE 1.Balo la magauni marefu Shifonie 750000 Dubai 850000 Canada PC 140+ 2.Balo la magauni mix mafupi 580000 China 650000 Canada PC 120+ 3.Balo la magauni mix 580000...
8 Reactions
24 Replies
15K Views
Ukisikia uchumi wa hili taifa unakuwa inabidi utafakari na kunywa maji mengi sana maana dah!
1 Reactions
5 Replies
110 Views
Habari ndugu, CRDB kupitia mfumo wao wa SimBanking wamenibambikia deni la mtumishi ambalo nilishamaliza kulipa. Nimewafuata mara kadhaa, lakini wamekataa kunipa barua ya kuondoka kwenye mkopo...
3 Reactions
38 Replies
499 Views
“Keki ni kubwa kwa ajili yetu wote.” Si amini. Kwenye biashara, kila mtu anataka kuongeza market share. Kila mtu anataka scale. Kila mtu anataka wateja wengi zaidi, branches nyingi zaidi...
2 Reactions
4 Replies
137 Views
Utangulizi Baada ya kukopa mkopo wa biashara kutoka CRDB, nimejikuta katika hali ngumu sana. Sijawahi kufikiria kwamba mkopo unaweza kuathiri maisha yangu kwa namna hii. Kila usiku...
32 Reactions
109 Replies
9K Views
Biashara ya mafuta ya kupikia ni miongoni mwa biashara ambazo zina soko la kila siku, kwa sababu mafuta ni sehemu ya matumizi ya kawaida ya familia, mama lishe, chipsi, migahawa na wafanyabiashara...
0 Reactions
1 Replies
241 Views
Kuwa na kuku wa kuuza hakumaanishi moja kwa moja utapata wateja. Wateja wanahitaji kujua unauza, wakuamini na waone sababu ya kununua kwako badala ya kwa muuzaji mwingine. Biashara ya kuku kwa...
0 Reactions
0 Replies
229 Views
BRAND NEW HUAWEI / HONOR 🔥 PURA 80 ULTRA 512GB — 2,620,000 PURA 80 PRO 512GB — 2,130,000 PURA 80 256GB — 1,570,000 ❌ PURA 70 PRO 512GB — 1,980,000 HONOR 600 LITE 256GB — 1,100,000 HONOR X9D 256GB...
1 Reactions
0 Replies
87 Views
Ama kweli tunatofautiana. 😂 Kuna watu tayari wamevuka utajiri wa bilioni 10 zisizo na minyororo ya madeni, lakini bado haziwatoshi. Wengine tukizipata hizo bilioni 10 tu, tunastaafu mapema...
11 Reactions
43 Replies
738 Views
Nimekuwa nikifikiria sana kuhusu jambo hili. Kila unapozungumza na kijana anayetamani kuanza biashara, mara nyingi jibu la kwanza huwa: “Nataka kuanza, lakini sina mtaji.” Lakini je, mtaji ndiyo...
4 Reactions
16 Replies
364 Views
Unawaza kuanza biashara lakini hujui biashara gani inaweza kuwa na wateja wa kurudia? Biashara ya kuuza vifaa vya kutengenezea keki ni moja ya biashara inayoweza kujengwa hatua kwa hatua, hasa kwa...
0 Reactions
1 Replies
204 Views
Serikali inaendelea kuimarisha matumizi ya teknolojia za dijitali, mifumo ya kisasa ya usimamizi wa bandari na biashara, pamoja na matumizi ya taarifa za kisayansi katika kufanya maamuzi ya...
0 Reactions
2 Replies
214 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…