Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari za wakti huu; Ni matumaini yangu kwamba mnaendelea vizuri katika jitihada zenu za kujenga taifa na kuifanya dunia kuwa salama na bora kwa kila mmoja wetu. Kama ilivyo ada,leo nataka kuleta...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Kuna pesa za kiganga zinazagaa sana humu mjini. Mtu unalipwa unashangaa hio hela hata umeitumiaje. Hela inakuja na majini, ukiipata tu unapata wenge mara utatumia huku mara kule ghafla imeisha...
9 Reactions
21 Replies
1K Views
Naomba kupata uelewa. Ni kwa nn bei za vitu Zanzibar ni cheap kuliko huku kwenu bara nyie watanganyika
1 Reactions
6 Replies
484 Views
Habari zenu wakuu ,samahani naomba kuuliza wapi nitapata chimbo la urembo wa ndani maua, saa na kikorokoro vyote kwa kwa kariakoo ili na mm niuze huku niliko ? Natanguliza shukrani
2 Reactions
5 Replies
592 Views
1 Reactions
16 Replies
577 Views
SERIKALI YAVUNA TRILIONI 1.8 KUPITIA SEKTA YA UZIDUAJI NCHINI - Ni kwenye madini, mafuta na gesi - Waziri Mavunde aelekeza uchunguzi wa tofauti ya Milioni 402 - ⁠ Kamati ya Bunge...
1 Reactions
1 Replies
306 Views
Baada ya kufika Mtwara nimetembelea Bandarini kuona shughuli mbalimbali zinazoendelea, kubwa zaidi ni kwa ajili ya usafirishaji wa Korosho ghafi kuelekea nchi za India, China na Ulaya jionee...
2 Reactions
7 Replies
599 Views
Ndugu zangu habari,mwezi wa 4 nitafungua pharmacy kwa mtaji wa kama mil 30,kuhusu location am sure nitaipata nzuri hofu yangu kubwa ni kwamba mimi kazi yangu ni ya kusafiri safiri sana. Nilitaka...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Vodacom Tanzania na Benki ya TCB wameujulisha umma na wateja Vodacom Tanzania na Benki ya TCB wameujulisha umma na wateja wao kwamba ujumbe wa hivi karibuni kwenye mitandao ya kijamii unaodai...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu nadhani mtakuwa wazima Afya . Ndugu zanguni nimekuja na ombi langu kwenu,na siku zote jamii forum ni sehemu imejaa waungwana kweli kweli. Ombi langu ni kufahamishwa chimbo la vifaa...
2 Reactions
1 Replies
444 Views
Habari Wakuu! Sio kila mtu kwake mtaji ni tatizo, wengi wetu tuna pesa ndefu kiasi tu kwenye Acc, (20M+50M). Personal, nilipanga kuanza kuwekeza kwenye biashara kwa Capital ya 30M, ambapo...
32 Reactions
112 Replies
23K Views
Licha ya mafanikio yao makubwa katika muziki, wasanii wa Bongo wamekuwa wakipiga hela kupitia biashara na miradi tofauti nje ya muziki: 1. Diamond Platnumz – Mbali na muziki, Diamond amejikita...
3 Reactions
50 Replies
4K Views
Tulishuhudia phase 1 vituo vya mwendokasi vikiwa vimejengwa karibu karibu sana kiasi cha kushangaza. Mfano I. Kituo cha Posta ya zamani na cha jiji 2. Kituo cha DIT na KISUTU 3. Kituo cha MSIMBAZI...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Wapendwa nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano, Naomba msaada wenu ndugu zangu , nimebahatika kuuza kaeneo kangu nikapata 10M. Sasa natamani kuizalisha kupitia bidhaa zinazotoka China...
7 Reactions
40 Replies
5K Views
Natumaini ni wazima wote nipo mbele yenu natafuta washing machine 4.5kg ya laki moja ambaye anayo ani pm tufanye biashara nipo Dar es salaam
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Nina hicho kiasi. Kichwani kwangu nina mawazo haya ya biashara lakini nasita ipi hasa na hizi zote nimezipata humu humu na kulingana na mazingira yangu. 1. Saloon na kuingiza movies na nyimbo. 2...
13 Reactions
158 Replies
45K Views
Songea. Mfanyabiashara wa usafirishaji mkoani Ruvuma, Jaribun Jaribun ameitaka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuacha kujisifia kukusanya Sh12 bilioni kwa mwaka mkoani Ruvuma akidai wanaumizwa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za wakati huu, Ni matumaini yangu kwamba unaposoma uzi huu unatamani kuanzisha biashara yako mwenye.Katika kuandika uzi huu nimefanya assumption kadhaa ikiwamo kwamba wewe unajua kusoma na...
26 Reactions
49 Replies
24K Views
Kwa wale wenye makampuni ya kuchimba visima Tabora, naomba kujua gharama za kusurvey na kuchima kisima maeneo ya Sikonge Tabora
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu, nimejiajiri kwenye biashara ndogo ndogo Mwenye picha au wazo, jinsi ya kutengeneza hiyo baiskeli yenye uwezo wa kubeba bidhaa kama; Miwa, fenesi, madafu na matunda mengine Naombeni...
3 Reactions
11 Replies
602 Views
Back
Top Bottom