Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Kwa wiki iliyopita mitandaoni hasa Instagram na Twitter kuliibuka mjadala mkali ikiwemo vita ya maneno miongoni mwa wafanyabiashara wa mjini Dar es Salaam. Baadhi ya wafanyabiashara walimtupia...
23 Reactions
97 Replies
10K Views
SUBIRA, JUHUDI NA ....soma Hadi mwisho ujue Cha tatu Kulikuwa na mkulima mmoja aliyepata mbegu ndogo sana kutoka kwa rafiki yake. Mbegu hii ilionekana dhaifu na isiyo ya thamani, lakini rafiki...
2 Reactions
0 Replies
398 Views
Wakuu habari za Leo. Nahitaji kununua magazeti Returns yaan Yale mabaki. Ninahitaji kuanzia kg 500 na kuendelea had tani 5. Kwa mwenye nayo please tufanye biashara. Namba yangu 0718378427
2 Reactions
5 Replies
4K Views
Wazee wikend imepoa sana Sijui shida nn ila nataka kuwapa kuwpa code, asee jf nikifa mtanikumbuka sana. Sitaki mia yako mzee, wewe nenda kwa mchina kafanye biashara watoto waende chooni. Dua tu...
14 Reactions
52 Replies
3K Views
Leo nimezunguka mno kariakoo, sijafanikiwa kujua chimbo halisi la vijora. Kariakoo madukani Bei ni 5500 hadi 6000 Kwa visivyo na mtandio, na 10,500 hadi 11,000 kwa vyenye mtandio. Swali langu ni...
5 Reactions
15 Replies
4K Views
Jambo la kwanza jitahidi kubadiri kutoweza kuwa kuweza Kwa kuamua mwenyewe Na njia nzuri ni kuweka mpango mkakati wa kuanza kuweka na kuboresha mindset yako Itakuwa ngumu ila ukizoea...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Salam! Kwa mtu binafsi Kwa biashara yoyote Kwa NGO yoyote Kwa taasisi yoyote ya elimu Kwa taasisi yoyote ya kidini IWE NI WAZO AU SHUGHULI HALISI NINATOA HUDUMA YA USHAURI NA USAIDIZI KATIKA...
2 Reactions
0 Replies
347 Views
Katika Tanzania, makampuni ya mitandao ya simu kama Vodacom, Tigo, na Airtel hutafuta ardhi kwa ajili ya kuanzisha minara ya mawasiliano ili kufikia wateja zaidi na kuboresha huduma za mtandao...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Samahani ndugu zangu wa JF nilikua naomba kujua namna ya kuendesha biashara ya pweza kwenye zile meza ipoje?(Nipo Dar es salaam naishi mpakani)..... 1.pweza wananunuliwaje 2.meza sh ngapi...
8 Reactions
31 Replies
2K Views
Habari, Ndugu wafanyabiashara wa peanut butter, unga wa lishe, karanga za kutafuna na n.k. nina mashine ya kukaanga karanga yenye uwezo wa kukaanga karanga zaidi ya kg 50 na pia nina mashine ya...
12 Reactions
21 Replies
2K Views
Eti leo tunawashangilia matajiri wetu, kina MO na Azam, kwa kuujaza utajiri wao kupitia kuuza energy drinks, barafu za ukwaju, tambi, na viberiti. Lakini je, tupo serious kweli kama taifa...
2 Reactions
4 Replies
592 Views
WAKINA MAMA WAJASIRIAMALI WA DODOMA WAMSHUKURU RAIS SAMIA KWA FURSA ZA KIUCHUMI ▪️Wajipanga kujiimarisha kiuchumi kwa fursa za kiuchumi kwa fursa zilizopo Dodoma. ▪️Wajipanga kujenga Maduka ya...
0 Reactions
3 Replies
581 Views
Ingawa biashara ya Bitcoin inaweza kuwa na faida kubwa, ni muhimu kutambua kuwa ni uwekezaji hatari sana. Kabla ya kuanza biashara ya Bitcoin, ni muhimu kuzingatia mambo yafuatayo: Hatari za...
1 Reactions
18 Replies
5K Views
Haya kama mlivyosoma ni kweli Hakuna biashara ina hela kama mapapai Na hakuna biashara rahisi kama papai Papai moja shamba linauzwa tsh 1500 moja Mtaani wanauza tsh 3000 moja Kilimo chake...
39 Reactions
310 Replies
11K Views
Kwenye biashara tuna waza mambo mengi sana hasa Mitaji,maeneo,wafanyakazi,bidhaa,nk Lakini watu wengi sana huwa tunasahau jambo 1 kujua aina gani ya wateja unawahitaji katika biashara yako...
19 Reactions
9 Replies
1K Views
Napasua kwenye mshono!! Mwenye genge kama hili akiwa eneo zuri lenye mzunguko wa pesa anaweza akawa na kipato kizuri kuliki watumishi wengi wa umma!
22 Reactions
53 Replies
3K Views
Package ina -1 Glucometer (mashine ya kupima sukari) -25 testing strips Bei : 35,000/= Testing Strips (50) Bei: 20,000/= Tupo TANZANITE PHARMACY - Tabata Aroma Mawasiliano 0653776099...
1 Reactions
4 Replies
762 Views
Naomba kujua masoko ya maziwa ya ng'ombe Kwa masoko ya Dar es Salaam. Hasa Kwa wanunuzi wakubwa wenye uwezo wa kununua litre kuanzia 1000
1 Reactions
1 Replies
803 Views
Wakuu nataka kufanya biashara ya kuuza protein powder suppliments kama Mass gainer, amino core etc naomba kujua wapi nitapata hizi suppliments kwa bei nafuu kwa ajili ya kuuza? Anayejua hili...
2 Reactions
14 Replies
831 Views
Wanabodi.. Heshima mbele! Moja kwa moja kwenye msada, kuna 10M iko mahali, nawaza niiweke wapi kati ya kununua bodaboda nne niwape watu wakuleta hesabu kwa siku/ week ama nifungue duka ambalo...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Back
Top Bottom