Biashara ya kukodisha nguo za maharusi inaweza kuwa na fursa kubwa kwa sababu harusi, send-off na sherehe mbalimbali zinaendelea kufanyika kila siku. Lakini kuwa na nguo nzuri pekee hakutoshi...
Nataka kuanza ufugaji wa kuku kwa hatua ndogo
Habari wakuu,
Nimeamua kuanza ufugaji wa kuku kama njia ya kujiajiri. Nimesomea mifugo, kwa hiyo nina msingi wa elimu ya ufugaji, changamoto yangu...
Nimekuwa mhanga wa kufungiwa laini yangu ya uwakala kwa sababu ya kufanya miamala batili ambayo mimi sijui kama ni batili kwani tangu nipate laini hiyo sijawahi kupata semina au mafunzo yoyote juu...
Wakuu,
Huyu mzee (Mjomba) anakaribia kupata mafao yake ya kustaafu, ni mtu mwenye wenge sana
Nimekaa nae juzi juzi hapa akaniuliza afanye Biashara gani? Nikamwambia aiwekeze Hatifungani za...
Wakuu habari za siku nyingi,
Natumai ni wazima wa Afya Allah anazidi kutupigania.
Ni mwaka mwingine unaelekea ukingoni natumai tulijiwekea malengo na vipaumbele mbalimbali, sasa huu ndo Muda...
Wana JF habari,
Nina biashara yangu ya chips. Natumia mkaa kukaangia viazi na gas kuchomea chips, Nina mpango wa kununua gas deep fryer kwaajili ya kukaangia viazi. Swali ni je deep fryer ipi ni...
Siku hii imenikuta nje ya Tanzania. Nimekuja Nchi moja south Asia kwa shughuli za kikazi. Nitarejea tarehe 17 October. Si mtu wa kupenda kununua nunua vitu nikiwa safarini lakini this time...
Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPP Centre), David Kafulila, amewataka wafanyabiashara na wawekezaji kuacha kusubiri Serikali itangaze miradi ya ubia kati ya sekta...
Afisa Tafiti na Uchambuzi wa Sera wa Taasisi ya WAJIBU amesema mashirika ya umma yanayojiendesha kibiasara bado yanakabiliwa na changamoto kubwa za utendaji, ikiwemo hasara, upungufu wa ukwasi na...
Afisa Tafiti na Uchambuzi wa Sera wa Taasisi ya WAJIBU amesema kuna masuala kadhaa ya sera yanayoweza kuathiri utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, yakiwemo mapengo katika sera na...
Habari wakuu. Nimekuja leo nikiwa na maswali mawili kuhusu biashara yangu mpya ya restaurant/mkahawa.
Swali la kwanza linahusu biashara yenyewe. Nimefungua restaurant wiki mbili zilizopita baada...
Swali: Naomba kujua kazi ya lipa namba na lengo lake ni nini???
Kuna vitu vinanichanganya ukitaka kulipa kwa simu unakatwa hela maanake inatakiwa uwe na hela zaidi ya hela ile uliyo nayo na ukija...
Wakuu naombeni maoni, biashara niliokua nimeeinza Sina uzoefu nayo vizuri. Hivyo nimeamua kurudi kwenye biashara ambayo nilishawahi kuifanya ila Sasa nataka niifanyie online kupitia whatsapp...
Sio kwamba biashara hizi hazilipi kabisa, bali mtindo wa kuzifanya kwa copy-paste bila kuongeza thamani (value addition) ndio unaofanya watu wafilisike haraka.
1. Duka la Vinywaji Baridi na...