Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

HabarI wakuu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mil 70 inatosha kufungua pharmacy ya jumla location Dodoma?
6 Reactions
57 Replies
5K Views
,,, TUNAPATIKANA MKUYUNI KARIBU NA STENDI YA DALALA ,,,,,, KWA MAWASILIANO ZAIDI O699494330 (Whatsapp & normal call) Karibu MACK_E OUTFITS tunauza t shirt kali size zote ni unisex anavaa mwanaume...
0 Reactions
0 Replies
192 Views
Wadau tujadiliane kuhusu michongo mbalimbali je ni sekta gani zenye kipato Cha kuridhisha?
1 Reactions
7 Replies
629 Views
Ndugu zangu siku za karibuni mliifahamu kama kampuni ya TIGO sasa imekuwa YAS una lipi la kusema juu ya mabadiliko haya Hii imekaaje tangu ilipobadilishwa na kuitwa YAS huku huduma ya fedha...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Baada ya kushauriwa na rafiki yangu kuhusu uwekezaji katika mifuko ya pamoja na kunielezea juu ya UTT AMIS nimevutiwa juu ya hili na kutaka kufahamu zaidi kuhusu UTT AMIS. Katika harakati za...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Wapendwa wote habari za mwaka mpya 2025 !! Jamani kama kichwa cha habari nlivo kiweka hapo juu, naomba anaye weza kunipa ufafanuzi juu ya mifuko ya Utt na faida za uwekezaji katika sekta hiyo...
1 Reactions
1 Replies
617 Views
Daaah walio toboa kwenye huo mkoa hongereni. Daah mikoa mingine utasema upo KENYA siyo Tanzania. Licha ya ugumu wa pesa hali ya hewa pia haikunifurahisha upepo mkali, maji chumvi daah, jua kali...
21 Reactions
131 Replies
13K Views
Nawezaje ku trade soko la hisa la USA mikiwa TZ? Nawezaje kununua big stocks kama AAPL, TSLA etc Sio Forex bali Stock MARKET kama kuna broker naweza mtumia hapa TZ
0 Reactions
3 Replies
603 Views
Naomba kujuzwa wanapouza chaja za simu kwa bei ya jumla,kwa ajili ya biashara yangu. Nisaidieni kunijuzwa chimbo wanalouza charger za simu. Shukrani
1 Reactions
4 Replies
721 Views
Hata bei ya mtungi wa kuvaa mgongoni pia naomba bei zake
1 Reactions
4 Replies
290 Views
Salamu Waungwana wa Ukumbi huu adhimu. Kuna visenti nimevipata mahali natafuta namna ya kuviongeza. Ninafikiria kufanya biashara ya Asali kwa kuanzia niende Tabora na kununua japo dumu mbili za...
2 Reactions
23 Replies
14K Views
Nawasalimu wakubwa kwa wadogo ktk jukwaa hili, Kuna kipindi nilileta uzi kuuliza mazingira ya Tabora yalivyo kwani mke wangu alipangiwa kazi mkoa huo,mwaka jana mwezi wa 12 nilienda kumtembelea...
45 Reactions
95 Replies
29K Views
Rehema na amani ya Mungu iwe juu yenu nyote wana JF. Naomba kujuzwa juu ya hii club tajwa hapo juu nikweli naweza wekeza fedha zangu nikapata faida au nimatapeli. Maana wanasema ni online...
1 Reactions
28 Replies
7K Views
Nikiri kuwa nimekuwa mpenzi wa BM Coach kwa muda mrefu sasa ila hili la safari hii limeanza kunichefua. Alhamisi ya tarehe 07/09/2023 nilisafiri na basi la 1.30 asubuhi. Mshangao wa kwanza ni...
12 Reactions
21 Replies
3K Views
Nafikiria kufungua duka la kuuza vifaa vya ujenzi, nalenga vitu 3: cement, nondo, na mabati. Hii biashara nafikiria kuifungua hapahapa Dar. Wazoefu nipeni ushauri natakiwa kuzingatia vitu gani?
2 Reactions
14 Replies
11K Views
Good Morning 🌞 for Everyone. 2025 Jipange upya njia uliyoitumia kuyaendea mafanikio na plan zako mwaka 2024 usikubali kurejea nayo kwani adui wamekutegea mikwamo mingi sana pengine mwaka 2025...
3 Reactions
10 Replies
911 Views
Habari wakuu, mimi mpaka Sasa nafanya biashara ya dagaa japo msoto bado mkali ila maisha yanaenda kibishi.
10 Reactions
74 Replies
5K Views
Habari wakuu mnaionaje hizi baishara ni za kuendelea kufanya kweli tandam ya gari ya sukari inabeba mifuko 600 ya sukari unaiuza kwa miezi 2 na faida yake ni 540,000 wakati huo gharama za manunuzi...
20 Reactions
153 Replies
13K Views
Habari, Nchi ya uturuki imekuwa miongoni mwa nchi ambazo Watanzania wengi wamejivunia utajiri kutokana na kuagiza bidhaa mbalimbali kupeleka Tanzania. Katika kipindi cha miaka ya Karibuni...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naulizia kwa wale wazoefu au anayefahamu site nzuri ya kununulia bidhaa za uturuki, kama ilivyo Alibaba, Amazon na eBay. Natanguliza shukrani
5 Reactions
70 Replies
12K Views
Back
Top Bottom